Pamoja sana mkuu, mtu unapoamua kuuchukulia mpira kama ni sehemu tu ya burudani hakika utaenjoy sana, tatizo kule kwenu mashabiki wengi wanachukulia timu yao ni kama sehemu ya maisha yao.Flano unakeraaaaaa ila in a very sport way. Napenda utani na dhihaka ila zisiwe zile ambazo zinahoji malezi na makuzi ya mtu.karibu jukwaa la arsenal mkuu maana we jamaa unajua kukeraa mpaka basi.
Ni moja ya watu wanaojua mpira ni furaha
Huwezi kumfundisha Ten hag mpira amekaa Ajax na ametengeneza mastaa wengi. Kwa aina ya wachezaji aliowakuta utd ulitegemea atumie mfumo upi wakati wachezaji wazuri aliowasajili kila siku wanapata majeruhi, sijui wakina Maguire wanawaloga?Hivi kwanini katika nominees ya makocha Bora EPL ,7 HAG hayupo?
Jibu : haeleweki anacheza Nini
Nakuhakikishia kwa kocha tuliyenae Mount anatufaa sana dogo anajua kupress na yupo aggressive, pia anauwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi na kufunga. Pia anakautuku fulani hivi kama cha Roy Kean. Ukitaka kuona wakina Sancho na Antony wanang'aa waleteeni wakina Mount ambao watashirikiana na Bruno kuongeza hatari katikati huku mawinga wakisahauliwa.Mount anafaa kwa timu ambayo tayari wataalamu na wachambuz nguli tunaita Blueprint
Ila kwa hii manjesta ambayo haijulikani inacheza possession football au PAPATUPAPATU football
Atakuwa reliability
Chelsea wanaenda kukunja β¬60-80m
Hapa ndipo unapoona akil za 7 hag
MountNakuhakikishia kwa kocha tuliyenae Mount anatufaa sana dogo anajua kupress na yupo aggressive, pia anauwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi na kufunga. Pia anakautuku fulani hivi kama cha Roy Kean. Ukitaka kuona wakina Sancho na Antony wanang'aa waleteeni wakina Mount ambao watashirikiana na Bruno kuongeza hatari katikati huku mawinga wakisahauliwa.
Si ndio sehemu pekee yakwenda kula pensionKwamba Neymar hataki kusikia club nyingne zaidi ya Mufc?