Wewe mpira huwa hauujui.Tukitoboa mniue..kule Chelsea kuna watu wawili hatari sana.. Madueke na Mudryik. Hawa jamaa huwa wanatokea benchi leo wameanzishwa.
Mechi mbili hizi tunahitaji point 1 tufuzu uefa lakini kwa Sancho na Martial!!! TUTAPATA TABU SANA.
Huyu jamaa (Antony) sijui huwa ana uchawi gani pale Utd, akiwa uwanjani anaonekana kama hafanyi kazi ila mara zote alizotolewa team yetu huwa inapotea kabisa kwa mashambulizi mfululizo.Tokea ametoka antony tunashambuliwa sana
Antony ni sawa na center bolt kwenye timu yetu, inapokosekana center bolt lazima gari ilalie upande mmoja.Huyu jamaa (Antony) sijui huwa ana uchawi gani pale Utd, akiwa uwanjani anaonekana kama hafanyi kazi ila mara zote alizotolewa team yetu huwa inapotea kabisa kwa mashambulizi mfululizo.
Ile game tuliyopoteza 3-2 dhidi ya Arsenal ilikuwa ni kwasababu ya sub ya Antony, na nyingine nyingi tu.
Unajua mkuu watu wengi hata mashabiki wa man u huwa wanamuona dogo kuwa anapoteza mpira kirahisi, ila ukitazama kwa umakini utagundua pindi Antony apatapo mpira anavamiwa na wachezaji wawili au watatu wa timu pinzani sasa hapo ni lazima mchezaji mmoja au wawili waache majukumu yao ya asili ili kuja kuzuia hatari ya Antony, fuatilia jana wakati anapata majeruhi alikuwa anakabwa na wachezaji wangapi.Huyu jamaa (Antony) sijui huwa ana uchawi gani pale Utd, akiwa uwanjani anaonekana kama hafanyi kazi ila mara zote alizotolewa team yetu huwa inapotea kabisa kwa mashambulizi mfululizo.
Ile game tuliyopoteza 3-2 dhidi ya Arsenal ilikuwa ni kwasababu ya sub ya Antony, na nyingine nyingi tu.