Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,216
- 11,613
City atatulipia deni ya magoli mliotufunga leo.
Tuna timu ya kawaida ila tuna kocha mzuri na mwenye mbinu hiyo mechi sio rahisi kwa city kama unavyodhani.Mechi ya City tukianza na hiki kiungo kilichoanza leo tutapigwa kama mwizi..Chelsea walikuwa wanatembea tu hapo katikati wanavyojiskia.
Anyway..top four finish secured.
AVR amekufa? Au bado yupo? Ahadi hizi!Tukitoboa mniue..kule Chelsea kuna watu wawili hatari sana.. Madueke na Mudryik. Hawa jamaa huwa wanatokea benchi leo wameanzishwa.
Mechi mbili hizi tunahitaji point 1 tufuzu uefa lakini kwa Sancho na Martial!!! TUTAPATA TABU SANA.
Kwenye misimu 10 hii ndiyo mara ya 3 tunapata points 72+
Nyumbu huyu Enzo hamkumuona kabsa
Kumbe jana alicheza??Nyumbu huyu Enzo hamkumuona kabsa