Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Goal difference ni 9..

Hii inaonyesha ni kiasi gani tumekuwa butu kwenye magoli..
Sema team yetu ni noma inafurahisha
Pamoja na GD ya 9 lakini DDG ndo anaongoza kwa cleansheet

Mechi zilizotucost ni Man city 6-3 liverpool 7-0 brentford 4-0 na nyingine zinazoishia 2-2 kama spurs 3-2 kwa arsenal
 
Twende mbele turudi nyuma hii game ni MUHIMU SANA KUSHINDA tukae top3 Liva anakuja kwa kasi sana kabakiza game 3 na vibonde kina Leicster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…