Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Shukurani Mkuu..

ni kweli timu ina changamoto nyingi ila hatuna mentality sahihi za kibingwa..

Pep aliionesha dunia jinsi mpira wa kisasa unavyoendeshwa..

aliamini katika anachoamini..akaleta vijana wake wakafeli..

nini kilifata?

kina Bravo, Nolito and co..waliondoka..

Muangalie Lottin Mbappe..kuna siku mbaya kazini anazingua, hata dk 85 ila zile tano anaweza kubadili upepo kabisa..

marejeo ni Fainali Vs Argentina..

ukija kwetu MBE akipata goli moja ndio kwanza kawa New Lionel..

mzee Ranginick aliweka wazi matatizo ya timu.. MENTALITY ya kina Antony kuzunguka na mpira hatuwezi shinda ubingwa..

tunawaita watoto..ila Rooney na Ronaldo pale Moscow sijui walikuwa na miaka mingapi..

Manchester United wasipobadilika tutaumia sanaa..

Otherwise Chelsea wafeli katika project yao, Plus Liverpool..

usiwasahau Newcastle..
yupo Cityzen pia na Compact team ya London Babies..
 
Sina lawama kwa kocha ngoja tumpe muda..

ila habari ya kukomaa na Frankie tayari inatuonesha dimension yake..

jaribu kufikiria Chelsea na Liverpool wangekuwa moto..

ana mengi ya kujifunza kama kweli ndie mtu wa kutusogeza huko juu..

Josep Guadiola yupo CLEAR..najua tutasema ana back up.. YES..
hata 10Hag awe mkali..

Kuna ulazima wa kulazimisha kufunga kila siku na unakosa??

Kuna wakati unajiuliza Nahodha wa Yanga aliwaza nini kupiga Pasi kwa Fiston siku zile Huko Nigeria?

ni kweli Rashford, Antony, Alejandro, and co. hawawezi kucheza kama timu?

kiuhalisia kushindana kama timu bado sana..
Ingawa katika mpira bahati huwa ipo..tunaweza kuokota vikombe kadhaa ila si kwa ubora..

tucheze mpira..huu unachezwa na watu sahihi sio hawa vijana tulio nao..
 
Kweli kabisa tatizo kubwa ni utoto kwenye safu ya ushambuliaji na ndiyo eneo linaloamua mechi.

Pia kuna mahali kama timu tunafeli. United inabidi waanze kuwa na roho mbaya kama Madrid. De Gea ukitoa yeye kuwa legend alitakiwa kuondoka lakini ndiyo wanamuongezea mkataba. Martial, Maguire, Fred pia wapewe mabegi yao. List ni ndefu ya watu wanaotufelisha kila msimu kwa kuwapa nafasi mwisho wa siku wanatuangusha.

Wachezaji kama Rashford na Antony tumewapa majukumu makubwa sana ila hakuna namna inabidi tuvumilie timu ikijiimarisha maeneo mengine.
 
Na mimi naamini sana kwa talents ambao hawana majina
Kila mchezaji mwenye jina wanaomtaka man u dau linaanzia 100 kama wameambiana vile
 
Umezunguka lakini umerudi kwenye orodha ile ile ambayo ina trend kwenye media.

De Jong hawezi kuwa tiba ya matatizo ya United, Harry Kane ni mwingereza kama walivyo Sancho na Rashford na anatoka timu ambayo haijawahi kuwa na ambitions zozote zaidi ya kupigania top four.

Nakuunga mkono suala la kubadilisha attitude ya timu kwanza na hilo unatakiwa uachane na hawa overhyped players wa kingereza wakipiga chenga moja inazungumziwa miezi mitano kwenye media, atafute wachezaji wazuri nje ya EPL ambao watakuwa na performance nzuri kwa dakika 90 kila mechi.

Mechi ya jana tungeweza kushinda easy kabisa kwa chances tulizopata first half lakini utoto na ujinga ujinga wa Martial na Rashford ulitucost.
 
Muondoe Fernandez kwenye list ya wapuuzi
 


Pamoja Mkuu..

panga lipite zito kama kweli wanataka tusonge mbele..

walipe mishahara inayoendana na uhalisia..

utoto ukemewe..
 
Pamoja Mkuu..

panga lipite zito kama kweli wanataka tusonge mbele..

walipe mishahara inayoendana na uhalisia..

utoto ukemewe..
Yes panga linatakiwa lipite kuanzia kwenye beki,Maguire na Varane wauzwe watoke.
Fullbacks Dalot na Brandon William's watoke.

Kwenye midfield, Fred, atoke, striking force ondoa Martial, na Elanga
 
Pamoja Mkuu..

panga lipite zito kama kweli wanataka tusonge mbele..

walipe mishahara inayoendana na uhalisia..

utoto ukemewe..
Yes panga linatakiwa lipite kuanzia kwenye beki,Maguire na Varane wauzwe watoke.
Fullbacks Dalot na Brandon William's watoke.

Kwenye midfield, Fred, atoke, striking force ondoa Martial, na Elanga

Goalkeeping De Gea ndiyo chaka la matatizo yetu kwa sasa
 

Changamoto timu yetu haitofanya lolote..

Martial bado wanamngoja
Scott bado wanamngoja
Maguire atarudia form ya world cup 2018
Fred wa Shaktar bado tunamngoja..

yote ya nini?

uza hata kwa bei pungufu project iendelee..

arsenal waliachana na Ozil plus Aubameyang wakiwa ma-star wa timu ili tu wasiharibu Mentality ya timu
 
Na mimi naamini sana kwa talents ambao hawana majina
Kila mchezaji mwenye jina wanaomtaka man u dau linaanzia 100 kama wameambiana vile
Ukweli usemwe tuu majina unatengeneza tatizo , timu zimehama kwenye huo mfumo wa majina , ukileta wachezaji watatu wenye majina hasa safu ya ushambuliaji 80% unaenda kufeli , wengi hujiangalia wao ili washine na wazihirishe Uma kuwa wapo vzuri , hapa Gharama yake ni kuwa timu inakosa muunganiko ,

Pale Madrid angalia wale madogo akina Vini , sjui wametokea huko Brazil na hawana selfish hii inafanya Benzema anatupia tuu, angalia Napoli jinsi walivyo na team work , iangalie mancity , angalia hata arsenal, .... Alaf njoo Kwa PSG uone tatizo lilipo, njoo Kwa Man U ....

Solution Man u iuzwe Kwa mwarabu , ili aisuke upya bila pressure ya machawa , na wajuaji , wazoefu wabaki eneo la midfielder tuu, na striker finisher wa maana

Hii timu ina waongeaji Sana pale uingereza , too much know wengi , yaan kocha unaanza kuyumbishwa kabla hata hujaanza kibarua
 
Nafikiri United wachezaji wengi hawauziki kwa sababu ya mishahara mikubwa.
Kingine wanaogopa kuvunja timu nzima kwa msimu mmoja wasijikute wanashuka daraja.
 
Nafikiri United wachezaji wengi hawauziki kwa sababu ya mishahara mikubwa.
Kingine wanaogopa kuvunja timu nzima kwa msimu mmoja wasijikute wanashuka daraja.

Acha tuone msimu mpya utaanza vipi..kakini tupo taratibu sana..

unafuu wetu wakubwa wenzetu pia jua likawie kuchomoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…