But did you just say above that DM should not be blamed for players' ugoro?
im wondering what happened to rafael how come he cant complete even one perfect cross like januzaj did,he must pust extra training in it.otherwise he should forget being called to play for brazilian senior players.
kaka mbona umepaniki bila ya sababu ya msingi as a player haijalishi unacheza namba ngapi?? kuna baadhi ya vitu inabidi tu uviweze sijui kama unamuangalia sagna wa arsenal krosi anazopiga au livyokuwa g.nevile mpirawa manu kwa miaka mingi tumekuwa tunategemea krosi so kwa beki za pembeni kuwa na uwezo wa kupiga krosi ni added advantageKama hujui mambo ya mpira unakaa kimya yaani unamfananisha rafael na januzaj?rafael ni beki hizo kross anapiga tu kuwasaidia. Huo mtindo wa dm kuua winga ya kulia watu wote anawajaza kati ndio matokeo yake haya eti umtegemee rafael beki wa kushoto ndio awe winga wa kupiga krosi!!. Ujinga mwingine wa moyes ni kila wakati akimtoa rafael watu wanafungia upande huo huo na bado anarudia kosa hilo hilo kila siku hii ni mara ya tatu anampumzisha beki kisiki rafael na watu wanapitia hapo hapo.
yah nakumbuka hilo mkuu to be honest rafael kwa sasa ananidisapoint ila bado naona ni bora yy acheze 2 kuliko kumchezesha smalling namba 2.Wewe ni mmojawapo ulikuwa unamlaumu kuwa Moyes hampi nafasi Rafael
beki imeoza balaa, vidic anacheza kama hataki. kimeo tu
Kwani si beki hii hii ndio ilicheza wakati wa babu Ferguson
ubishi wa moyes unai cost team..anaona shida gani kumsajili chuji na mbuyi twite lakini?
Kwani si beki hii hii ndio ilicheza wakati wa babu Ferguson
Ati simu haina charge phew! What a stupid excuse. Mlifikiri EPL ni chandimu ehe? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee depending on a teenager ...... .... ...
Hata Mata alikuwa best player enzi za AVB,Benitez na Di Matteo but alivyokuja Jose ameonekana flop.Pamoja na weaknesses za Moyes but
most of senior players wanacheza chini ya kiwango sana,hawastahili kuchezea Man United kwa sasa
kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kikongwe kapata kifafa baada ya kipigo
.....#Mnaweweseka eehh?!
Hehhehhheehhh.....#DaudiMuya hajajua 1st Eleven yake wala #Sub gani itayombadilishia mchezo!
Ujio wa Mata umeua kabisaaaa "deadly" partnership ya RvP na Rooney....-Fact!
Ujio wa Mata umemfunika dogo alokuwa anachipukia Januzaj - Fact!
Ujio wa Mata unamaana RvP au Rooney mmoja wao awe sub wa mwenziwe, otherwise ni majanga kwa kwenda mbale- Fact!
Mourinho kuwauzia Mata alijua hatakuwa na msaada wowote kwa Man United kwa sasa kinyume na fikra za wengi (too soon too late to build the team around Mata!) - Fact!
View attachment 138667
.... Belo usisahau kuchaji simu!
#MosQw !to.