Niliiona hii mkuu, hata wakiuza Class B share, Assume Wameuza Ineos 51% Glazzer wanabaki na 20 ama 30% halafu siku Ineos wakakumbwa na ukata wakauza Asilimia kadhaa then huyo alieuziwa naye akawa na akili kama Glazzer hayo ni majanga tayari, tunarudi kama Arsenal Zamani.