Ngwaba yupo jukwaa la liverpool, siwezi kumsemea ila nadhani upevu wa khulka na tabia za kimjadala zimemfanya ajiweke busy na majukwaa mengineyo.
Umesema ukweli, ndio maana Manjesta hawawez kucheza hivi kwa kumpini back mpinzani,Usisahau pia mmefungwa magoli yote hayo with the lowest defensive height in the league, mngejaribu high def line tungeona vitu adim hatujawahi ona.