Mashabiki wanakuambia timu yao inaweza ifunga timu yeyote Europe.
Lakini timu yao ikicheza na timu decent inapaki basi na kusubiri kaunta, mpaka dk hii Liva anamiliki mpira ila ni united ndiyo amepata chances 2.
Midtable teams zote zikicheza na decent opponent hivi ndivyo wanavyofanya wanapaki basi wanasubiri kaunta but they rarely get outta their way and start claiming they can beat anyone.