St Mary's ni pagumu pale usisahau hivyo
RVP kama kawaida atapumzishwa ili aje kuwachinja hapo Imarati kama kawaida yake
Hahahaha kwahiyo nafasi ya kwanza itakuwa inagombaniwa na Man City na Liverpool?Najua. Lakini jinsi walivyorudisha ghafla inaudhi. Naona ule mwanzo wa kugombania nafasi ya pili vs Chelsea umeanza leo.
Hahahaha kwahiyo nafasi ya kwanza itakuwa inagombaniwa na Man City na Liverpool?
Not this time. Kama unaweza ku-bet weka dau. Tutawagonga safari hii LOL
Mata is off, Januzaj is in...83rd min...great debut for him...
Hivi, ni mimi macho yangu ama? Mata anataka kufanana (kwa sura) na Rooney ama?
Naona kuanzia leo mwendo utakuwa hivi
Question---------------------Answer
Who's best Midfielder?------ Mata
who's the King of Spain?-------- Mata
Who's the PM of England? -------Mata
Who's the president of USA?------ Mata
Who's the founder of FB/Google/Twitter? -----Mata
Who's the best GK in the World? -----Mata
Who's the best ball passer?------ Mata
Hivi yule jamaa ambaye kawa flop sasa hivi alipofika Emirates ilikuwaje?? lol
Ebana jamaa kapotea. Anyway, atakuwa anasheherekea kumgonga town rival. Everton ndo wasahau kuchallenge nafasi ya 4
Hahaha hujaangalia mechi yetu ndo sababu. Ozil kawakimbiza S'top kinoma kidogo awatungue sema mtambaa wa panya kama alivyokuwa anaita Charles Hillary ndo umewaokoa Saints. Nasubiri muda si mrefu mtaanza kumlaumu Moyes kwa kuvunja transfer record kwa Mata maana hamkawii kumjia juu Moyes.
Kuna posibility kubwa Arsenal,Liverpool na Man United kugombania nafasi ya 3 na 4