Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chief simu inauwezo ila app siioni na ukiinstall inaandika Done tofauti na apk nyngne zinaonesha (open na done) any alternative
Jaribu 32bit version

Pia angalia kama una version ya zamani itoe kabla ya kuweka hii.
 
Wakuu ninatazo upande wa picha.
Natumia Samsung S9, zamani picha zilikua zinafunguka, ila kwa sasa hazitaki kufunguka, bado sijajua tatizo ni nini?

Leo ni week sasa, hilo tatizo naliona.

Naombeni msaada wenu, upande wa picha naukosa utamu.
 
Nicolo Barrela anafaa sana kuliko De Jong, dogo ameshabembelezwa sana kama penzi la maskini na mtoto wa kishua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…