Manda JF-Expert Member Joined Sep 24, 2007 Posts 2,071 Reaction score 306 Oct 18, 2009 #1,781 Ogah said: hawa mashetani hata hawachezi vizuri....lakini wanashinda....inaudhi sana kwa kweli Click to expand... Lol...uzuri ni kwamba umejiuliza na ukajijibu...mwendo ni ule ule. NB; Na marafe 'wetu' pia, ndio maana Looserpool amezidi kudidimizwa na marefa 'wa-Manutd"
Ogah said: hawa mashetani hata hawachezi vizuri....lakini wanashinda....inaudhi sana kwa kweli Click to expand... Lol...uzuri ni kwamba umejiuliza na ukajijibu...mwendo ni ule ule. NB; Na marafe 'wetu' pia, ndio maana Looserpool amezidi kudidimizwa na marefa 'wa-Manutd"
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,567 Oct 20, 2009 #1,782 Yaani aliaza Beckham na sasa mtoto Ronaldo anamwaga "radhi"...hebu mchekini dogo kwenye hii link http://uk.eurosport.yahoo.com/19102009/58/la-liga-ronaldo-set-billionaire-status.html
Yaani aliaza Beckham na sasa mtoto Ronaldo anamwaga "radhi"...hebu mchekini dogo kwenye hii link http://uk.eurosport.yahoo.com/19102009/58/la-liga-ronaldo-set-billionaire-status.html
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,506 Reaction score 11,439 Oct 20, 2009 Thread starter #1,783 Ab-Titchaz said: Safari bado ndefu na bado tumo. Aluta Continua. Click to expand... Kabisa! Bado kuna kibarua mbele ya safari!
Ab-Titchaz said: Safari bado ndefu na bado tumo. Aluta Continua. Click to expand... Kabisa! Bado kuna kibarua mbele ya safari!
M Magehema JF-Expert Member Joined Aug 11, 2008 Posts 428 Reaction score 28 Oct 20, 2009 #1,784 Wazee wa dakika 100+
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 Oct 21, 2009 #1,785 skraga said: with man u you'r always happy Click to expand... kuna kila dalili, hawa cska watapigwa mabao; wana man united mwasemaje hapo, mbona imekuwa kimya hivi? Dk 25 bila bila
skraga said: with man u you'r always happy Click to expand... kuna kila dalili, hawa cska watapigwa mabao; wana man united mwasemaje hapo, mbona imekuwa kimya hivi? Dk 25 bila bila
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 Oct 21, 2009 #1,786 Dk 28 ball possession cska 39 man united 61%...
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 Oct 21, 2009 #1,787 Half time, bila bila; wametukosakosa!
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 21, 2009 #1,788 Berbatov hataki kumfunga kocha wake wa zamani, bw. Ramos. Ni bora SAF akamtoa mara tu 2nd half itakapoanza.
Berbatov hataki kumfunga kocha wake wa zamani, bw. Ramos. Ni bora SAF akamtoa mara tu 2nd half itakapoanza.
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 Oct 21, 2009 #1,789 Da tumeponea chupu chupu! Berba naye kala yellow, duh!
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 Oct 21, 2009 #1,790 dakika ya 85, valencia 1 cska 0
Saikosisi JF-Expert Member Joined May 4, 2007 Posts 528 Reaction score 35 Oct 21, 2009 #1,791 mpira kwisha; ama kweli man united hatushikiki... tusubirie tuone the blues...
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Oct 21, 2009 #1,792 Hongera Man United, hii ni ishara njema kwa kipute cha weekend. Wapinzani wetu wamefungwa mechi 4 mfulululizo, ukijumlisha kipigo cha jana. Nitafurahi endapo Fabio hajaumia sana, Evra, park na Rooney wapone haraka
Hongera Man United, hii ni ishara njema kwa kipute cha weekend. Wapinzani wetu wamefungwa mechi 4 mfulululizo, ukijumlisha kipigo cha jana. Nitafurahi endapo Fabio hajaumia sana, Evra, park na Rooney wapone haraka
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Oct 22, 2009 #1,793
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Oct 22, 2009 #1,794
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Oct 22, 2009 #1,795 Nani kama Nani?
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Oct 22, 2009 #1,796
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Oct 22, 2009 #1,797
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 Oct 22, 2009 #1,798 Ahsante kwa picha mtani..hawa Ruskies na uwanja wao wa nyasi za plastic walitushika koo lakini naona waliachia.
Ahsante kwa picha mtani..hawa Ruskies na uwanja wao wa nyasi za plastic walitushika koo lakini naona waliachia.
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,266 Oct 22, 2009 #1,799 Eqlypz said: Ahsante kwa picha mtani..hawa Ruskies na uwanja wao wa nyasi za plastic walitushika koo lakini naona waliachia. Click to expand... Karibu sana mtani wangu...umeniacha hoi na hio kauli ya nyasi za plastiki...😀
Eqlypz said: Ahsante kwa picha mtani..hawa Ruskies na uwanja wao wa nyasi za plastic walitushika koo lakini naona waliachia. Click to expand... Karibu sana mtani wangu...umeniacha hoi na hio kauli ya nyasi za plastiki...😀
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 Oct 22, 2009 #1,800 Ab-Titchaz said: Karibu sana mtani wangu...umeniacha hoi na hio kauli ya nyasi za plastiki...😀 Click to expand... Yeah jamaa wana nyasi za plastic sijui nyasi za kawaida hazikui uko Moscow au basi ndio makeke yao ya kutaka mambo ya mcheza kwao utuzwa. Ferguson felt his team had produced a professional performance on the Luzhniki Stadium's artificial pitch. Click to expand...
Ab-Titchaz said: Karibu sana mtani wangu...umeniacha hoi na hio kauli ya nyasi za plastiki...😀 Click to expand... Yeah jamaa wana nyasi za plastic sijui nyasi za kawaida hazikui uko Moscow au basi ndio makeke yao ya kutaka mambo ya mcheza kwao utuzwa. Ferguson felt his team had produced a professional performance on the Luzhniki Stadium's artificial pitch. Click to expand...