Ili iweje ? Ikiwa tu Grazzer pesa walizotumia miaka yote hazina tofauti na matajiri wa mancity
Mnawataka wa Qatar waboreshe miundombinu au wafanye Nini kipya?
Pamoja na ujinga wa bruno, penalt nyepesi sana ile. Nilikuwa nasikiliza hapa commentator anashangaa refa anataka kufanya nini, alikuwa haamini kama inaweza kuwa penalt.