Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]

Prediction

Manchester United 2 vs Barcelona 1

Time[emoji355]
5:00 usiku

Stadium [emoji2522]
Old Trafford

Last match

Barcelona 2 vs Manchester United 2

Wewe sasa wabetie Barcelona hafu tuone kama hayo magoli utawafungia wewe.

GGMU [emoji83][emoji83]
 
Kwa United ya sasa Wout hawezi kukaa nje. Ila kwa sababu umesema ni "my starting XI" acha tuishi hivyo.
Kila mtu ana namna yake anavyoangalia mpira,,,,

Wout kwetu ana faida Sana japo hafungi na ndio kazi yake ,,,, pale mbele anasumbua Sana mabeki pinzani hasa aerial duels, pia anashuka Sana kusaidia kukaba,,,hapa nadhani ndio ETH anampendea ,,,,

Kaangalie stats zake za our last match, utadhani Ni kiungo kumbe Ni CF
 
Bayern Munich wanataka kiasi kisichopungua 18m ili watuachie Marcel Sabitzer
 
Kama tokeo likiwa 2 vs 2, inakuaje?
Aggregate itakua ni 4-4. Hivyo wataongezewa dakika 30 za kucheza. Kama kukiwa hakuna mshindi katika dakika hizo, David De Gea na Marc Andre TerStegen watawajibika kutuonyesha ubora wao katika changamoto ya mikwaju ya penati.

NB: Kanuni ya faida ya goli la ugenini ilifutwa kwenye mashindano yote yanayoandaliwa na UEFA.
 
Tukitoboa mechi ya leo (na Barca) na Ile ya jumapili (final ya carabao na Newcastle) nitamnyooshea mikono ETH.

Hizi match zinanipa wasiwasi kwa kweli. Naona kama wachezaji wamekua na overconfidence [emoji23]
Mchezaji anayetupa matokeo Rashid ndiye anaongoza kwa disappointments. Mpaka najiuliza huwa hakemewi!!
 
Tukitoboa mechi ya leo (na Barca) na Ile ya jumapili (final ya carabao na Newcastle) nitamnyooshea mikono ETH.

Hizi match zinanipa wasiwasi kwa kweli. Naona kama wachezaji wamekua na overconfidence [emoji23]
Licha ya hiyo..mimi nachohofia ni mechi zinavyofuatana hivi..uchovu

But naamini tutatoboa zote mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…