Huyu Sabtizer bado sana… anafichama kushenzi mabeki wanapata shida sana kupenyeza mipira jamaa anajificha nyuma ya wachezaji pinzani..garnacho anafurukuta but hana mechi nzuri leo mijamaa imekakamia kadogo… Rash leo hayupo kabisaaaa. nadhani tunacheza kumi uwanjani leo., unapata shida sana kutambua uwepo wa ghost uwajani… I wish Sancho aingie acheze kulia kwa rash… then rash acheze 9 huyu mzimu apumzike aisee