mwaka wa 10 huu Arsenyani bila kushiriki Uefa, mwaka wa 20 bila kombe la Epl.
Tokea kuumbwa kwa dunia Arsenyani haijawahi kubeba kombe la Uefa.
Mpaka hawa tuliotoka kuwabonda muda huu Nottingham Forest pamoja na Aston Villa wamewapiga bao kwenye makombe ya Uefa.
Kunywa maji halafu relax. Timu yako inayocheza mpira mzuri wametuliza mbupu wanaangalia wanaume kwenye TV. Timu yako ilishindwa kupata goli hata la kuotea dhidi ya Newcastle.
Narudia tena, kunywa maji (mengi) halafu relax. Huu mchezo hauhitaji hasira.
Just like the busby babes in days gone by,
We'll keep the red flags flying high,
Your gonna see us all from far and wide,
Your gonna hear the masses sing with pride.
United, Man united, We're the boys in red and we're on our way to Wembley!