unaweza ukafanya compilation ya CB wowote ukatoa majibu mazuri na mabaya, it means nothing, naangalia almost mechi 38 za ligi sihitaji kuangalia short video kum judge mchezaji wa man U.
Anasema alikuwa anachelazimishwa kucheza huku ana majeraha, then anakuwa victim wa kulaumiwa na mashabiki kwamba hajitumi uwanjani, na OLE hachukui hatua yoyote ya kuelezea ukweli.
Anasema alikuwa anachelazimishwa kucheza huku ana majeraha, then anakuwa victim wa kulaumiwa na mashabiki kwamba hajitumi uwanjani, na OLE hachukui hatua yoyote ya kuelezea ukweli.
Neymar: "I’ve played against Varane many times. He’s a very good centre-back. He’s quick and intelligent. His positioning is very good. He’s a top player. He almost never gets it wrong. That’s why he’s won so much."