Man united kwa hawa fullback wawili na midfield hizi hata kombe la ndondo hawawezi kushinda. Ni lazima watafuta fullback wawili level za kina Robertson na hawa viungo hata hata siku moja hawawezi kuifanya team icheze. Liver wana Handerson na wala sio mchezaji wa hivyo lakini kuna viungo pale wanafanya aonekane mzuri na ana fit kwenye system. Hii team inahitaji number 2 na 3 watu wa viwango, inahitaji Midfield watatu wenye uwezo wa kukaa na mipira mmoja defencive wawili viungo washambuliaji, kule mbele winger wa kulia na striker basi mwanzo mzuri. Mimi Liver nimepita kuwapa maoni yangu tu hii team hata VVD akija hapo ataonekana kama Maguire tu.