Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lawama lazima, kujenga team sio msimu 1 au 2
Kwa united haihitaji nadharia ya kusibiri miaka kubeba taji, ni mwendo kugombea ubingwa. Take my word

Ikiwa watazingatia beki wa kati(tena awe mlinzi kiongoz)

Box to box middle Thiago akichekecha Sana. Kocha mtaalamu utamjua Kwa namna anavyowatumia wachezaji wake....

Na straiker ambayo atafanya Fuji nyingi ndani na nje kidoogo ya 18

Man UTD inahitaji wachezaji watatu kwanza maeneo hayo matatu
 

Huyu naye baada ya Msimu mmoja tu anaweza kukataliwa.
 
As long as kuna Structure hata piece moja ikiondoka haisababishi madhara tofauti na one man show ya Woodward.

Hiyo Structure munayoiongelea Mitandaoni kumbukeni ni Maoni ya Watu na sio Agenda iliyojadiliwa na kuwa implemented na Bodi ya Timu.

So, nawashauri punguzeni too Much false hope na rudini kwenye reality.

Ukweli ni kwamba there's nothing going on kinachoitwa new Team structure except media rumors! You'll never see something like that kwenye official website ya Man U.
 
Ngoja nimsaidie mkuu.....wewe structure unayotaka kuiona ni ipi?

kuna director of football
Kuna technical director
Kuna consultant pia
Kuna executive

hiyo sio structure?

Kwasasa Manchester United wamejitahidi kugawanya majukumu kulingana na majukumu na hiyo ndio structure anayoizungumzia huyo mkuu hapo juu
 
Kwa hio woodward kajiuzulu, Murtough na Fletcher wamepewa vyeo ambavyo havikuepo mwanzo, Head wa scout wamefukuzwa, Murtough kaonesha usajili, RR kaletwa na role juu kapewa etc unahisi ni Rumors hizi?

Hakuna kitu ambacho Kinamuudhi Tajiri kama Kupoteza Hela, Maandamano ya mwaka Jana mpaka Mechi ika Ghairishwa yameleta impact kubwa ikiwemo kushuka kwa Hisa za Man Utd.

Kuna Kipindi Glazer walikuwa wanaivalue United 4B ila soko la hisa sasa hivi ni 2.25B tu. Baadhi ya watoto wa Glazzer wameanza kuuza Hisa zao.
 
Nani yupo responsible kwenye kutoa mishahara mikubwa pale United?

Kazi halisi ya Matt Judges ni ipi? Haiwezi kuwa replaced na mtu kama Rangnik au DoF?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Judge huyo huyo, hao watu wa Finance hawawezi kuwa replaced na Watu wa mpira.
Nadhani mtu wa recruitment alitakiwa afanye negotiation na mchezaji.

Kuwa na wage imbalance nayo ni shida sana.

Sasa hivi watu kama Rashford, Maguire, DeGea kuwaondoa itasumbua sana. Mchezaji analipwa £300k kwa week na output ni zero.

Tuanze moja. Mishahara haitakiwi kuzidi £200k. Utaongezewa mshahara ikiwa unaonesha juhudi za kueleweka uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…