Kipigo cha aibu kwa mantesa united ndani ya mechi mbili kwenye msimu mmoja liver kashinda goli 9 tena kwa bila
Mantesa 0 vs 5 liverpool
Liverpool 4 vs 0 mantesa united
Mwalimu wa Pressing amekutwa na nini?mwalimu wa Klopp na Tuchel kaishiwa mbinu?let me nitafute nyuzi za nyuma Kuhusiana na Ragnick sifa alizopewa humu Jukwaani