Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Magwayaaa kwa nini bado anapewa namba man u????? Yani kocha bora lifukuzweee tuu mbwa lilee
 
Tuanzie Moyes, Lvg, Mourinho, Solkjaer, Rangnick n.k mimi kiukweli nitakuwa wa mwisho kulaumu makocha, matatizo ya man u ni zaidi ya makocha
Mbona imesemwa ni tactical substitution?

Kuhusu kutokua kocha nimesema tangu zamani.

Huyu ni sawa na umpe timu Kashasha (RIP)
 
Mimi nashauri game ijayo na majogoo tusiingie uwanjani, wapewe point zao tu jamani.
Kila nikiifikiria hii match, kuna haja ya kutokuwa na bundle hii siku dah, kwa pira lile majogoo wamecheza na man city, naziona 3 kipindi cha kwanza kama tukicheza huu ujinga tunacheza kila siku..
 
Kila nikiifikiria hii match, kuna haja ya kutokuwa na bundle hii siku dah, kwa pira lile majogoo wamecheza na man city, naziona 3 kipindi cha kwanza kama tukicheza huu ujinga tunacheza kila siku..
Hii ndiyo itakuwa mechi ya kwanza nitafurahia matokeo yoyote yale kwenye hii mechi.

Tukifungwa nitafurahi kwasababu nguvu wanayowekeza wale viazi pale OT hawastahili kushiriki any European football competition next season.

Waki-draw au wakishinda United nitafurahi sana kwasababu LFC wasipobeba PL tutakuwa sehemu ya kushindwa kwao
they're far better than us, nitashangalia kufeli kwao popote pale kwasababu hakuna cha kushangilia kwenye timu yangu.
 
 
Hivi unadhani mnaweza kutufunga mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…