Bruno mapepe mengi badala atulie atoe pass ya kueleweka, yaani kila mechi unaona afadhali yule. Pobga licha ya kuwa mzito anatoa pass za maana no mapepeNi weupe ila kipindi cha pili wanatudi kudefence kazi ipo bado
Hawa ATM weupe kinoma noma labda tumbwele wenyewe tu.
Bruno mi anachonikera ni kujiangusha hovyohovyo tu.Bruno mapepe mengi badala atulie atoe pass ya kueleweka, yaani kila mechi unaona afadhali yule. Pobga licha ya kuwa mzito anatoa pass za maana no mapepe
Bruno mapepe mengi badala atulie atoe pass ya kueleweka, yaani kila mechi unaona afadhali yule. Pobga licha ya kuwa mzito anatoa pass za maana no mapepe
Hesgoal server zimejaaWanaolilia link tulia pakua hii utajichagulia muonekano kulingana na uwezo wako wa mbs
Ipo mpaka UHD
View attachment 2152288
Naisave msg yako nitakujibu mpira ukiisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hauna akili
Yaani utafikiri yeye ndie tu anacheza, atulie basi mechi ya middlesbrough na Watford alipoteza chance nyingi kisa mapepe.Leo Bruno ana mapepe, aisee
Kweli.Bruno mapepe mengi badala atulie atoe pass ya kueleweka, yaani kila mechi unaona afadhali yule. Pobga licha ya kuwa mzito anatoa pass za maana no mapepe
Yaani utafikiri yeye ndie tu anacheza, atulie basi mechi ya middlesbrough na Watford alipoteza chance nyingi kisa mapepe.
Ukute anataka asifiwe.
Mpenda Sifa haogopi hasara
Alafu yeye ndie ana jukumu la kuwaunganishia washambuliaji mipira ila unakuta anajifanya mshambuliaji.Kweli.
Kuna wakati inahitajika kupiga pasi nyepesi lkn anataka kupiga pasi ngumu bila sababu yoyote, me namwaminia ila cku za karibuni amedrop sn au ndiyo kusema Ronaldo ndiyo anayesababisha ashuke kiwango km alivyosemaga mamluki flani humu.Bruno mapepe mengi badala atulie atoe pass ya kueleweka, yaani kila mechi unaona afadhali yule. Pobga licha ya kuwa mzito anatoa pass za maana no mapepe
allypipi naona timu la dunia linacheza na wewe unafuraha
Huenda Ronaldo kachukua attention aliyokua anapata alafu ukute ni mpenda sifa si ndio basi atataka afunge kwa namna yoyote ile ili asifiweeKuna wakati inahitajika kupiga pasi nyepesi lkn anataka kupiga pasi ngumu bila sababu yoyote, me namwaminia ila cku za karibuni amedrop sn au ndiyo kusema Ronaldo ndiyo anayesababisha ashuke kiwango km alivyosemaga mamluki flani humu.