Mwisho wa msimu hii defence inahitaji reshufle ya hali ya juu siku hizi tunafungwa magoli kirahisi sana,nakumbuka ile defensive combination ya Rio,Vidic,Evra,Van de Sar na Brown.Moyes ni mzuri sana kutengeneza defence ,tayari kuna tetesi Rio atastaafu mwisho wa msimu