Akili poa hii.Inasemekana yeye mwenyewe alikubaliana na uongozi wa juu wasiongeze mtu kikosini mpaka majira ya kiangazi hatma ya kocha wa kudumu ikiamuliwa. Priority ni top 4.
Hata negotiations za mikataba zote zimewekewa pending status. Wachezaji wanaotolewa kwa mkopo pia haijumuishi buy option clause kwa timu wanazojiunga nazo.
Kitu kikubwa watu wanachoshindwa kuelewa dirisha dogo lipo kwa lengo za kuziba nafasi za majereha ya muda mrefu ya wachezaji sio mipango ya muda mrefu.Nachojua dirisha dogo alijawai kuisaidia timu ikafanya vizuri ndo maana timu nyingi azionagi umuhimu wa kusajili dirisha dogo maana nikuja kuivuruga timu.
Bruno usajili wake ulikamilika tu majira ya baridi ila alikuwepo ktk mipango ya timu ktk majira kiangazi ni viogozi tu walishindwa kukubaliana awali.Bruno Fernandez
Paul Scholes
Kabisa. Kwa kikosi tulicho nacho top 4 sio shinda huhitaji kukurupuka tu sokoni kisa wengine wananunua.Akili poa hii.
Inatufanya tusiingie gharama zisizo na maana.
Jombaa uko serious? Kwa kikosi chetu hatuhitaji mtu wa ziada kukaa top 4.Ina maana hata uwezekano wa kumpata Ander Herrera kwa mkopo toka PSG pia imeshindikana?
Top 4 bado matumaini ni madogo sana bila kuimarisha eneo la kiungo.
Mkuu Paul Scholes aliwakuta Carrick na Fletcher? Au cjakuelewa.Bruno usajili wake ulikamilika tu majira ya baridi ila alikuwepo ktk mipango ya timu ktk majira kiangazi ni viogozi tu walishindwa kukubaliana awali.
Paul Scholes ujio wake kama unakumbuka vizuri viungo wetu wote walipata majeraha ya muda mrefu wakiongozwa na Carrick pamoja na Fletcher.
Amekusudia baada ya kurudi tena kuitumikia klabu kwa mara ya pili.Mkuu Paul Scholes aliwakuta Carrick na Fletcher? Au cjakuelewa.
Aende tuBordeaux wameonyesha nia ya dhati ya kuhitaji kumsajili phil jones dirisha hili, kinachosubiriwa ni uamuzi wa ralf rangnick.
taaarifa ni kwa mujibu wa fabrizio Romano
Tunataniwa sana mtandaoni twitter.
Mara tunavumishiwa kwa sneijder, nicolas gaitan, otamendi.
Kikosi kikiwa kikubwa sana kama chetu maana yake unakuwa na kundi kubwa la fringe players.
- Ralf rangnick kwa nyakati tofauti alikuwa anagusia juu ya ukubwa wa kikosi alichonacho kinavyompa tabu kwenye ufanyaji wa maamuzi, nikiangalia hii hamisha hamisha ya wachezaji inanifanya niamini ya kwamba rangnick ni klopp mwengine, huenda wote wawili hawapendi kumanage kundi kubwa la wachezaji wenye viwango vinavyoshabihiana.
Yes aliwakuta mwaka 2012 aliporejea mara ya pili.Mkuu Paul Scholes aliwakuta Carrick na Fletcher? Au cjakuelewa.
mimi kama shabiki yake nimefurahi sanaAmad katupia huko Rangers.
Brazil ya sasa hivi hata Uingereza wana timu nzuri kuzidi wao.Nilikuwa najiuliza inakuwaje Fred anaanza Brazil kwa recent performance yake ila nimepata jibu kuwa Brazil hawana watu kabisa zama hizi.