Kama wewe si shabiki wa Man City sidhani kama una haki ya kuongea hayo maneno, [emoji3]Tena saana, nawaza Kwa mabeki na aina ya Ukabaji wa kina magwaya wakikutana hata na Brighton Au the foxes,bees.Tutaongea mengine maybe babati iwabebe lakini si Kwa deserve.
Nme download app ya football tv nmeangalia bila shida mkuu.
RR kafanyaje ss, timu inacheza vizuri tofauti na mwanzo au huoni?Angesubiri msimu ukaisha Ili kuepusha kisingizio ndo akachukua timu,Mbona kina Zidane waligoma.Mbali na Ivo,mbona Spurs inafanya vizuri licha ya kocha mpya na wachezaji ni wale wale? Aston villa,licha ya kukutana na vigogo lakini imeonesha Kuna kitu tofauti na mwanzo. Kwanini RR??
Mwanga sana yule jamaa.Maguire??!!!!...Jesus Christ..
Sijui anavaaje kitambaa cha ukapteni.
Si ulienda kulala wewe?Hapa hamna timu kabisa
Nyie endeleeni kushona sare tu, hapo mbele mna mechi mbili za kupoteza.Nyie ni matakataka tu hamuna timu ya maana ya kufika hata top four.
Bingwa wa back pass ni Bissaka.Ronaldo anakera back pass nyingi Sana
It's natural kwa beki kupiga forward passes nyingi na mshambuliaji kupiga back passes nyingiRonaldo anakera back pass nyingi Sana