Jamaa huwa anajipaka mafuta mikononi maana anasprint sana mabeki wengi huwa wanamshika kumpunguza naona ndio akaja na hiyo njia na kuna mdau pale juu amesema ana matatizo ya bega.. all in all Adama ametumika sana pale Wolves, atarudi tu ni mchezaji mzuri sana tuSija
Sijaelewa hiyo 30 ltrs oil?
Jumatatu..Tunacheza lini tena wadau
mmeshaanza kutaka aondokeManchester United have announced the appointment of Scotsman Ewan Sharp as an assistant coach and analyst.
Rangnick first encountered Sharp at New York Red Bulls where he worked as a performance analyst - and the move bolsters United's backroom team following the departures of Michael Carrick and Kieran McKenna.
View attachment 2053784
=========================
huyu mzee ataondoka kweli baada ya miezi 6 kwa mujibu wa mkataba wake?
Sina hakika naona Kama anazidi kujichimbia miziziManchester United have announced the appointment of Scotsman Ewan Sharp as an assistant coach and analyst.
Rangnick first encountered Sharp at New York Red Bulls where he worked as a performance analyst - and the move bolsters United's backroom team following the departures of Michael Carrick and Kieran McKenna.
View attachment 2053784
=========================
huyu mzee ataondoka kweli baada ya miezi 6 kwa mujibu wa mkataba wake?
Aondokee aende wapi akae atulie atutengenezee kikosi cha kuwasumbua kina tucheleweManchester United have announced the appointment of Scotsman Ewan Sharp as an assistant coach and analyst.
Rangnick first encountered Sharp at New York Red Bulls where he worked as a performance analyst - and the move bolsters United's backroom team following the departures of Michael Carrick and Kieran McKenna.
View attachment 2053784
=========================
huyu mzee ataondoka kweli baada ya miezi 6 kwa mujibu wa mkataba wake?
Hahahaa umeuliza kana kwamba unatilia mashaka jinsi anavyoweka mizizi yake.huyu mzee ataondoka kweli baada ya miezi 6 kwa mujibu wa mkataba wake?
Kinachonishangaza, kwa mfano huyu sharp, tunapewa taarifa za kujiunga kwake lakini hatuelezwi nani anaondoka, which means waliokuwapo hawakuhitaji services za hao professionals.Hahahaa umeuliza kana kwamba unatilia mashaka jinsi anavyoweka mizizi yake.
Benchi letu la ufundi lilikuwa na watu wenye uwezo mdogo sana acha tu huyu mzee alete watu.
Wameondoka wanne bado mmoja analiwa mingo asanuliwe (Mike Phelan). Halafu huyu mzee mjanja sana awaondoa kijanja kweli kweli.
bwana phelan inavyosemekana hashughuliki na chochote kwenye viwanja vya mazoezi, amekuwa mfano wa waziri asiyekuwa na wizara maalumuWameondoka wanne bado mmoja analiwa mingo asanuliwe (Mike Phelan). Halafu huyu mzee mjanja sana awaondoa kijanja kweli kweli.
ameondoka kieran mckenna na kocha mwengine (jina nimelisahau).Kinachonishangaza, kwa mfano huyu sharp, tunapewa taarifa za kujiunga kwake lakini hatuelezwi nani anaondoka, which means waliokuwapo hawakuhitaji services za hao professionals.
ed woodward inavyosemekana atafanya kazi ya consultancy kwa miezi isiyojulikana, wakati huo huo tunaambiwa pindi utakapomaliza mkataba wa miezi 6 bwana rangnick atafanya kazi ya consultancy kwa takribani miaka 2.Aondokee aende wapi akae atulie atutengenezee kikosi cha kuwasumbua kina tuchelewe
walikuwa na responsibilities kama hizo tunazoambiwa za hawa wanaoingia?ameondoka kieran mckenna na kocha mwengine (jina nimelisahau).
wote wawili wamekwenda ispwich town
ndio, kieran alikuwa ni assistant manager ila sidhani kama alikuwa ni analystwalikuwa na responsibilities kama hizo tunazoambiwa?
cocha wa liverpool, alisema RR's competencies na interests ziko kwenye coaching, sio hizo mambo za consultancy. hizi mambo za consultancy kama kwa ED WDWD ni part of prolonged handover processes.ed woodward inavyosemekana atafanya kazi ya consultancy kwa miezi isiyojulikana, wakati huo huo tunaambiwa pindi utakapomaliza mkataba wa miezi 6 bwana rangnick atafanya kazi ya consultancy kwa takribani miaka 2.
kama naanza kumuelewa Volatility aliposema huyu rangnick anaweza kuwa kocha wa kudumu ila hili litategemea zaidi na zawadi ya top 4.
au mwaonaje wenzangu.