Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lita 30 za jasho alilo mwaga Wakati anacheza
Amesema 30ltrs of oil na si jasho
...huyu mwamba kabla ya game huwa wanampaka korie wese kwenye mikono ili imsaidie wakati wapinzani wakiwa wanamkaba wakitaka kumshika mikono iteleze coz INASEMEKANA ana bega bovu kwahyo kutokana na Kasi yake wanaweza wakamngangania akateguka bega ikamletea matatizo
 
Na yule mwamba anasumbua aloo.
Beki ukikutana nae yule lazima ulale naviatu.
 
21Savage kasajili lini?
 
Habari ninazosoma kuhusu Erling Haaland na Julian Alvarez angalau hata moja iwe kweli.
Tetesi tu Jombaa. Hatuna upungufu eneo la ushambuliaji (Ronaldo, Cavani, Greenwood) labda majira ya kiangazi sio kipindi hiki cha baridi. Ralf mwenyewe alikiri haihitaji mtu wa ziada idara hii.

Nafikiri usajili mpya anaweza kuwa Boubacar Kamara. Eric Bailly anaenda Afrika muda sio mrefu watabaki Lindelof, Maguire na Varane incase kama kuna injuries zaidi au kusimamishwa huyu Kamara anaweza kuziba nafasi japokuwa ni kiungo wa ulinzi zaidi.
 
Martial anafata nini training...
 
Ralf Rangnick is pushing for Manchester United to sign Erling Haaland despite intense competition for the Borussia Dortmund striker. Rangnick retains a cordial relationship with Alf-Inge Haaland.

Ralf Rangnick has recently spoken to Haaland's father, Alf-Inge, about possibility of his son signing for #mufc next year.


manutd |
#GGMU
 
It is not going to be easy for #mufc to sign Erling Haaland. What happened with Paul Pogba affected the situation between Mino Raiola and United. Many clubs are interested but nothing advanced at the moment and nothing will be decided right now [Fabrizio Romano]

manutd |
#GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…