Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,524
unajua unachokifanya ni kumtafutia Ronaldo nafasi za upendeleo, yaani the best among the weakest.History wkt ndio top scorer wako, are you serious mkuu?
Sawa mwanafamilia wa kambo😅.ugomvi wa wanafamilia hautauweza, acha kupotosha.
Hizi comment zako hazina chochote cha kufanya juu ya legacy ya Ronaldo na heshima aliyonayo kwa wapenzi wa soka duniani kote. Yule jamaa hâta asipokupa magoli atakupa Business, asipokupa Business atakuvutia attention way far na hao unaojaribu kuwa-praise humu.unajua unachokifanya ni kumtafutia Ronaldo nafasi za upendeleo, yaani the best among the weakest.
hiyo top scoring yake anafair vipi kwenye EPL top scorer's list?
Kuna mtu anaekataa hilo?? Kuchuma amechoka lakini haiwezi kuwa sababu ya uchezaji mbaya wa Man UTD.HAKUNA UBISHI..
Ronaldo amechoka..Anahitaji apenyezewe mipira kwenye njia hakuna lingine analoweza.
Ndivyo tulivyo fans wa man u, mwingine wameshaanza kumsema Ralf, naisave comment yako.HAKUNA UBISHI..
Ronaldo amechoka..Anahitaji apenyezewe mipira kwenye njia hakuna lingine analoweza.
Mbn ckuelewi mkuu, nmekuambia yeye ndiye top scorer wa timu yetu sasa ni kazi kwako kukubali au kukataa, kuhusu chenga hilo mtajua nyinyi as long as anafunga basi anatendea haki namba yake, ambayo ni no.9 chenga cjui dribbling, umri mtajua wenyewe.unajua unachokifanya ni kumtafutia Ronaldo nafasi za upendeleo, yaani the best among the weakest.
hiyo top scoring yake anafair vipi kwenye EPL top scorer's list?
Hakuna fluidity kule mbele..mipira inafika na kupotea wewe hulioni hilo..Kuna mtu anaekataa hilo?? Kuchuma amechoka lakini haiwezi kuwa sababu ya uchezaji mbaya wa Man UTD.
Umepotea, co uzi huu.Wimbo Rasmi wa Madini Tanzanite
Thanks for coming out.HAKUNA UBISHI..
Ronaldo amechoka..Anahitaji apenyezewe mipira kwenye njia hakuna lingine analoweza.
Ronaldo kwenye General play amechoka hajachoka??Ndivyo tulivyo fans wa man u, mwingine wameshaanza kumsema Ralf, naisave comment yako.
Nimekuelewa, umeamua kumuevaluate Ronaldo on one and only one criterion, goal scoring. WHICH IS NOT FAIR EVEN TO HIMSELF.Mbn ckuelewi mkuu, nmekuambia yeye ndiye top scorer wa timu yetu sasa ni kazi kwako kukubali au kukataa, kuhusu chenga hilo mtajua nyinyi as long as anafunga basi anatendea haki namba yake, ambayo ni no.9 chenga cjui dribbling, umri mtajua wenyewe.
Tunataka goli na c kitu kingine, chenga watapiga kina Pogba.Nimekuelewa, umeamua kumuevaluate Ronaldo on one and only one criterion, goal scoring. WHICH IS NOT FAIR EVEN TO HIMSELF.
Mbona kwa Ole hukuridhika kuwa nae..kwani tulikuwa hatushindi mechi mbili tatu??..Mashabiki wa Utd bhn huwa wkt mwingine wanashangaza sn, hawatidhiki, wanataka mchezaji atoke mbinguni kwamba asikosee mechi yoyote ile, na akipatia watampamba kwa kila nyimbo, akikosea lawama kama zote, ss mtu ni namba 9 na anafunga, mtu anakwambia apigi chenga, mwingine anakuambia hapigi pasi kitu ambacho ni uongo kabisa cz cr7 cku hz hakai na mpira, ss kama hakai na mpira huwa anaipeleka wapi km co kupiga pasi?
Tuwe na heshima bhn na tujifunze kuridhika japo kwa kdg tulichonacho mana wengine hawana kabisa.
Swali ni kwamba kwenye nafasi yake ana deliver?Ronaldo kwenye General play amechoka hajachoka??
Hawasaidii wenzake kule mbele kupata ile fluidity itakayozalisha magoli mbalimbali..na hili ni tatizo.
Tulimpa mda, asilimia kubwa ya mashabiki wa utd nikiwemo mm tulikuwa na imani na Ole lkn ikashindikana.Mbona kwa Ole hukuridhika kuwa nae..kwani tulikuwa hatushindi mechi mbili tatu??..
hadelivi. man utd scoring machine customary should have bagged the highest in EPL by now.Swali ni kwamba kwenye nafasi yake ana deliver?