Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuwa Trainer doesnt mean wewe ni mzuri sana, unaweza kuwa trainer bt kukitoa kile ulichonacho kichwani na kukiweka field kikawa tatizo kwako.

Nadhani ndio mfano wa Ralph, Yes alimfundisha Klop na Tuchel bt baada ya hapo akawa director of football locomotive moscow, Yaani hata hao warusi hawakuwa na imani nae na kuamua kumpa u-director instead of coaching/manager.

Unaweza kuwa mwalimu mzuri sana wa sayansi ila ukawa huijui na hujawahi kuiona hata simu moja damu ya chura.

Tatizo si kumfundisha Klopp na Tuchel, tatizo ni je anaweza kuhamishia field kile anachowaza kichwani kwake?

Kwa hapa kwetu walimu ni matunda ya wale waliochemsha mitihani yao bt hao hao ndio ambao wanazalisha madaktari wetu na maprofesa wetu tulionao.

Kama hujanielewa hapa, kamwe huwezi elewa sehemu nyingine.

GGMU........... Alisikika mlevi mmoja hivi wa chimpumu

Sent from my LM-K500 using JamiiForums mobile app
 
Nyie matakataka tangu mumetowa draw na Chelsea munalala hadi saa nne hii🤣🤣🤣
 
Huyo pimbi anakaza fuvu tu..kila kitu anaelewa
 
Kwa bahati mbaya kwa Wapinzani, Ragnick ameshinda makombe 7 katika carrier yake kama kocha

Kabla ya Ragnick, Hoffenheim ilikuwa ni timu ya kawaida kama ilivyo Leeds na Burnley pale Uingereza. Lakini ndiye kocha aliyeifikisha Hoffenheim hatua ya nusu fainali UCL na ikatolewa na Man Utd ya Ferguson. Tangu hapo Hoffenheim haijawahi tena kufika hatua hiyo

Huyu ndio kocha aliyoitoa Schalke mavumbini mpaka akaiwezesha kushinda DFL Pokal 2005, Schalke sasa hivi ipo Championship ya Ujerumani kwa sasa

Mfano kati ya makombe aliyoshinda ni DFL Pokal 2005 (Schalke), DFL Pokal 2011 (Hoffenheim), DFL Super Cup (Hoffenheim) 2011

Kwa hiyo pamoja ya ku philosophise mpira na kuwa Gegenpress Godfather ambayo ndio imekuwa nguzo muhimu ya mafanikio ya Klop na Tuchel lakini pia amefanya kazi nzuri kama kocha.

Nitakukumhusha pia huyo Klop anayeimbwa leo duniani, alipokuwa anafundisha timu ndogo huko Ujerumani, alishusha daraja klabu ya Mainz. Tuchel pamoja na kufundisha Dortmund timu mojawapo kubwa Ujerumani lakini aliambulia kombe la DFL Pokal tu

Kwa hiyo relax mkubwa. After all anakuja kama interim coach. Ila bado ni kocha mzuri.



Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Kocha hajawahi kuhusishwa hata na Bayern Munich pindi wanaachana na Hans flick wakamkimbilia amateur coach Nigelsmann


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
The biggest trophy Ralf Rangnick has ever won is "He inspired Klopp, Tuchel and Nagelsmann".

Nice move, Manchester United.
 
Ralf hana rekodi tamu sana ya makombe. Ni kama Bielsa alivyomuinfluence Pep lakini Pep ana mafanikio kumzidi Bielsa ndiyo Ralf na wanafunzi wake wakina Klopp, Tuchel na Nagelsmann.
Utabili wa hali ya hewa.
 
Nadhani Ralf yupo comfortable zaidi akiwa technical director kuliko kocha.

Ndo maana alisisitiza badae awe consultant na hakutaka aendelee kuwa kocha.

Na kama angetaka kuwa kocha asingekosa timu yeyote ile hata pale england.
 
Unasema makombe kma ya FA wakati Wigan washachukua na wakimfunga man cty na halikuwa wameshuka daraja ssa ww unasema makombe 7 ya mbunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…