Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naamini hawa akina Carrick na wenzie hawana maisha marefu baada ya miezi 6 kumalizika. Kitu kilichofanya wahakikishiwe kazi zao na kilaza Ed Woodward baada ya kumfuta kazi Ole ni kwa ssb kilaza Ed hakuwa na backup plan endapo project ya Ole ingefeli. Hapa nimewahi kuelezea vizuri ukiwa na mtu mwenye uwezo mdogo ktk nafasi ya Ed (football executive/chief strategist) hauwezi kufanya vizuri hata uwe na pesa kama za Jeff Bezos.

Nafasi walizonazo hao jamaa akija mwalimu mpya ni lazima waondoke ni nafasi kubwa mno ambazo kocha yeyote yule ulimwenguni huwa anapenda kuwa na wasaidizi wake wasiopungua wawili anaowaamini. Sioni hawa wakibaki na hizi nafasi wote watatu kuanzia mwakani hasa hasa Mike Phelan.

Mike Phelan - Kocha msaidizi
Michael Carrick - Kocha wa kikosi cha kwanza - offensively
Kierran Mckenna - Kocha wa kikosi kwanza - defensively
 
Muda mwingine ni Kulingana na Mood ya siku husika na nyie mnalifaham hilo unakuwa Bored mpaka huelewi kwanini uko vile kwani ni mala ya kwanza Bruno kutokea Benchi?..? ni hapana.
pia yaweza kuwa kama ulivyosema hakuwa na Furaha sababu ya Ole may be anamuonea huruma japo ilimbidi afukuzwe kulingana na situation ya Timu ilipokuwa.
Labda tunamtafsiri vibaya Bruno.

Inawezekana kutokushangilia kwake alifanya hivyo kuonyesha sadness kwamba manager aliyemleta pale amekua sacked.

Ukweli anaujua yeye. Tusi judge
 
Evra: “Mauricio Pochettino, one name linked, didn't win anything with Tottenham, and if he comes in and doesn't win anything after a few months, some will be saying: 'Why did we get him? We want a winner.'

manutd |
#GGMU
 
Evra: “Let's be realistic, this season's Premier League title is out of reach. But the Champions League? Anything can happen. With a lucky draw, you can go to the end.”

manutd |
#GGMU
 
Chelsea msimu Huu iwe Uefa ama ligi au michuano yoyote hajawahi kuruhusu goal kuanzia 2 kwenye mechi moja litafakari Hili kwanza japo kakutana na team zenye safu nzuri ya ushambuliaji kama Liverpool, Man city n.k
Sasa leo Kisafishe kiboga hiko
 
Nataman Sana mmufunge Chelsea boya yule ili tumfikie point .....


Lakini nyie mlivo vilaza ,utaona ukilaza wa magwaya alivo falaaa ,kutoa maboko tu ....

Utaona ukilaza wa kina rashford leo na......


Yaan hii timu kuisupport inatakiwa uwe mvuta bangi kweli kweli ......
 
Maguire ana red kua mpole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…