Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,338
- 201,591
Kuna Article naitafuta nikuwekee upitie wanachofanya Manchester United ni ku delay the inevitableAina yako ya mashabiki nina hakika ni wale ambao huwa hamuangalii games za Manchester United full time badala yake munaangalia highlights
Ishu si kuwa unabadilisha kocha now and then ishu ni Ole hana uwezo wa kuipa mafanikio Manchester United, kwasasa No even in the future. Timu yetu Manchester United si ya kugombania nafasi ya pili sijui top 4, Manchester United ni timu ya kuchukua trophies na mafanikio Mengine
Kuna video niliweka last week kamsikilize yule bibi anajua mpira kuliko wewe kuna kitu uta learn
Hivi walimnunua kwa kiasi gani!? Maana wamemfukuzia misimu karibu mi2Ingekuwa Liverpool wana mitazamo ya aina hii walipofungwa 7 kwa mbili na Aston Villa leo wangekuwa walibadilisha kocha.
Manutd wamebadilisha makocha sasa 3 lakini hakuna mabadiliko tatizo ni usajili. Wananunua wachezaji wasio na tija. Sancho sijui walimnunulia kwa nini wakati kiwango chake kilianza kushuka muda mrefu sanaaaaaaa
Nakubaliana na wewe mkuu.Kuna Article naitafuta nikuwekee upitie wanachofanya Manchester United ni ku delay the inevitable
Yes timu inaweza pata matokeo kesho lakini the coming weeks timu itafungwa, haina mipango ya kubeba vikombe
Ole Must Go
Ole ni Ushuzi tu
Team kubwa kuliko yeye
Wewe hujui mpira nimesoma hili bandiko lako unasikitisha, watu wengi wenye poor football knowledge mnalaumu sana makocha, Fool.Mi sijui wanataka nini hao watu wanaomtetea
Kwenye defensive stats pale kuna sehemu kama mbili hivi man u ni ya 20 hivi kweli man u ni timu ya kuwa ya 20 kwenye stats yoyote ile?
Sahvi tupo sawa na arsenal points
Na arsenal wametoa thumni ya usajili compared na sisi but improvement is massive
Ole is busy trying making mCfred to work
Trying to make players his friends and not his boys.....
Hana hata uhakika na first team yake ya kila siku
Wachezaji wote aliowasajili wachache ndo wameleta results kwanza nahisi ni mmoja tu kwanza ambae ni bruno sijui
Hivi sasa tumekua desperate nahisi hata koeman akija man u watu wanaweza shangilia maana tuna poor team ambayo kila mtu anaishangaaa
Kuna majamaa youtube wanaitwa tifo irl wanakwambia man u basicalli tunacheza 4_2_4 na hao wanne wote wa mbele hawatrack back na hao wingbacks nao hawajui kujiposition AWB ndo kabisaaaa wanaona hata hafai kuwa mchzaji maguire acts like yupo sunday league....
Anyway mkuu kwa sasa nimepumzika mpaka pale atakapokuja mtu mwengine aseee kwa sasa
Ole match ya liverpool naskia aliwaambia watu wapress eti
Una press una 37yr old person mbele na mtu kama bruno na greenwood na rashford ambao wote hawapress bali wanasindikiza mpira kwa macho...mwisho wa siku wachezaji sita tu ndo wanapress wengine ni mafaza wanangoja waletewe tu
This team is dead kuna wachezaji wengi wangeachwa tu waende
Sasa Cavani akacheze wapi km CR7 yupo ndani, au unadhani anaingia tu sababu ana jina kubwa? Au unaona output ya CR7 na cavani inafanana?4-2-4..hao wanne wanakabia tu macho na shida inaanzia hapo..na Ole ameshindwa kutambua hata hilo...And i'm wondering ni kwa nini hard working Cavani ananyimwa gametime kiasi hiki.
Tutafungwa sana this season kama hatutaleta benchi jipya la ufundi..
Sasa wewe mbona unakua kama ndege wa kaliuaWewe hujui mpira nimesoma hili bandiko lako unasikitisha, watu wengi wenye poor football knowledge mnalaumu sana makocha, Fool.
Huyo cr7 kaja kuharibu team ilivokuaSasa Cavani akacheze wapi km CR7 yupo ndani, au unadhani anaingia tu sababu ana jina kubwa? Au unaona output ya CR7 na cavani inafanana?
Mnamkosea sn Ole watu km nyie hamkutakiwa kuongelea ishu za mpira.
Ndio maana nikasema wewe ni fool, huna legit ya kumjudge Ole, your football understanding is very narrow.Sasa wewe mbona unakua kama ndege wa kaliua
Unapaa kwa kufuata upepo
Timu ina maguire na shaw na varane ambao wote wanacheza vizuri nje ya klabu kwenye timu zao za taifa na previous clubs lakini hapa man u ni kama wapuuzi
Timu ina wakina pogba, fred ambao wakitoka hapa man u wakienda national teams wanaperform balaa wakina lindelof euro wanachukua na man of match kabisa
Sancho was outstanding at bvb ila hapa he is worthless....same as DVB...same as telles
Unapokaa huko ukajikuta wewe ni guru kwenye kuchambua baki na opinion zako sio kukurupukia watu usiowajua na kujump na conclusion zako
This a thread dipass .....ya man utd na fans wake wote whether i'm bright or a fool just like u said ....tuliza hilo duara kwenye kochi... relax huu ushauri haukulishi so tulia
Na tayari kashaingia upepo tayari..Kuna Article naitafuta nikuwekee upitie wanachofanya Manchester United ni ku delay the inevitable
Yes timu inaweza pata matokeo kesho lakini the coming weeks timu itafungwa, haina mipango ya kubeba vikombe
Ole Must Go
Ole ni Ushuzi tu
Team kubwa kuliko yeye
Sawa geniusNdio maana nikasema wewe ni fool, huna legit ya kumjudge Ole, your football understanding is very narrow.
Kwa hiyo ukiAssemble machezaji yanayofanya vizuri national team ndio umeshamaliza kazi?
Sawa mkuu wasalimie hapo FIFA HQ wewe mwenye leseni ya kuongelea football.Sasa Cavani akacheze wapi km CR7 yupo ndani, au unadhani anaingia tu sababu ana jina kubwa? Au unaona output ya CR7 na cavani inafanana?
Mnamkosea sn Ole watu km nyie hamkutakiwa kuongelea ishu za mpira.
Huyu jamaa mpuuzi kinoma..hatuhitaji kubishana nae..sio mshabiki wa United kwanza.Sawa genius
Lakini umeruka point hivi ni mimi ni fool kweli au ni wewe ndo huelewi mpira
Labda akili ndogo
Haya narudia
Man united players perform well outside the team lakini wakirudi ndani ya timu viwango vinakua vya ajabu ...sasa nakuuliza tena we unahisi hili tatizo linaletwa na nini pale man utd????
Swali jingine je messi akija man utd kwa sasa akashindwa kuperform halafu akitoka akienda nationals anashine kwa wewe na hio elimu yako pana ya mpira unahisi watamlaumu nani?
Hali imekua mbaya kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Opponents: Tunamuombea Ole ashinde mechi zote Tatu alizopewa.
United fans: Tunaomba Ole afungwe mechi zote Tatu.
Mwenzenu ana familia inamtegemea[emoji1787]mnataka atimuliwe familia yake Ile nini...MITANO TENA KWA OLE...KWANZA OLE SIYO GAIDI APEWE MUDA
Nani anataka kubishana na wewe mkuu usiejua ht kupanga formation na kinara wa kumponda Ole, wabongo tubadilike.Huyu jamaa mpuuzi kinoma..hatuhitaji kubishana nae..sio mshabiki wa United kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]M.amae Hari magwaya.Ole Gunnar Solskjaer meets with Klopp. He asks him, "Your team wiped the floor with us 5 - 0 I cant get over it, how do you run such an efficient team? Are there any tips you can give to me?"
"Well," says Klopp, "the most important thing is to sign intelligent players."
Solskjaer frowns. "But how do I know the players in my team are really intelligent?"
Klopp says. "Oh, that's easy. You just ask them to answer an intelligence riddle."
Then Klopp phones Mo Salah. "Please Join me and Solskjaer in here, would you?"
Salah walks into the room. "Yes, boss?"
Klopp smiles. "Answer me this, please, Mo. Your mother and father have a child. It is not your brother and it is not your sister. Who is it?"
Without pausing for a moment, Mo answers, "That would be me."
"Yes! Very good," says Klopp.
Back at Old Trafford, Ole gunnar Solskjaer asks to see Harry Maguire.
"Harry, answer this for me. Your mother and father have a child. It's not your brother and it's not your sister. Who is it?"
"I'm not sure," says Harry. "Let me get back to you on that one."
Harry goes to to the whole Man Utd squad and asks everyone he can find, but none can give him an answer. Finally, on the way out he bumps into Paul Pogba
Harry says, "Paul! Can you answer this for me? Your mother and your father have a child and it's not your brother or your sister. Who is it?
Paul Pogba says, "That's easy. It's me!"
Harry says. "Thanks!" and goes back to the Managers Office to speak with Ole gunnar Solskjaer.
Harry Says, "I did some research I asked the whole team and I have the answer to that riddle. It's Paul Pogba."
Ole gunnar Solskjaer, stomps over to Harry Maguire, and angrily yells into his face, "No, you idiot! It's Mo Salah!"