Kabla ya meshi OLE kasema Maguire hakupata muda wa mazoezi baada ya kupona, sio hakupata muda wa kutosha, HAKUPATA MUDA. Alafu akasema kumpanga ni tough decision amefanya.
Kabla ya meshi OLE kasema Maguire hakupata muda wa mazoezi baada ya kupona, sio hakupata muda wa kutosha, HAKUPATA MUDA. Alafu akasema kumpanga ni tough decision amefanya.
But Erick baily alikuwepo pale nje, kwanini kamlazimisha Maguire kucheza?
Kama angeanza baily na tukapata haya matokeo tusingemlaumu ole kumuacha Maguire kwa sababu tunajua hajapona vizuri au kama kapona Hajapata muda wa kufanya mazoezi na timu.
Kocha msimu wa 4 huu kama sikisei bdo tu anajenga timu?klopp alihitaji misimu 2 tu kuijenga liverpool
Liver ina wachezaj wa kawaida sana ukilinganisha na Man utd,yet liva wapo wanatuacha mbali sana
Ukocha m nadhani ni kama uwezo tu darasani..kuna makocha ni wazuri sana na wengine ni average..ole ni beyond average kwa kweli
Ronaldo collapsed Ole's rebuild, United imekuwa na Ronaldo na Pogba wachezaji wawili walio free na wanaleta ugumu kwa ole kuimpliment his system, unaweza kuona namna Leicester alivyoattack kirahisi leo, sijui against Liverpool ya Salah itakuaje!