Tukisema kuhusu ubovu wa kocha tunaitwa plastic fans,lakini kwa hali hii kama Ole ataendelea kubwa kocha wa MAN U tutakuja kushituka wakati ambapo tumeshakuwa kama Newcastle, Tottenham na team nyingine ambazo zilikuwa babe zamani ila sasa zimebaki historia.
Itafika muda tutakuja hi team ya kuleta challenge tu kwenye league na sio kuwanis ubingwa.
Hii schedule ya October-November ilivyokaa,kama Ole atapona basi hatawahi kufukuzwa kwenye siku za hivi karibuni.