D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,057
wapumbavu wenziwe watamtetea kwa injury, harry ni kawaida yake kufanya blunder pindi anapokuwa kwenye presha.Afadhali umesema kama ambavyo huwa namuona huyu jamaa. Hadi anafungisha hilo lilikuwa kosa la pili anafanya.
Kwani tulimpa Bailey mkataba mpya wa nini?
Hii timu mpaka sasa pamoja na tatizo kuu la mwalimu la Laissez faire attitude.brother, hatuna kisingizio wala yeye mwenyewe hatakiwi kuwa na kisingizio.
hii ni mechi ya nne tunacheza na leicester city tunaingia uwanjani tukiwa uchi, angalia timu muda wote timu ipo chini eti tunawaogopa hawa wajinga.
hatuwezi hata kuwapa presha wachezaji wao, yule amartey anacontrol mpira anavotaka bila ya kughasiwa.
inaumiza sana
ishu si kupata ushindi, kitakwimu za ushindi Ole ni kocha bora.Naona Leicester wanakabia juu kabisa hii inafanya mabeki wetu kufanya makosa mengi sana, naona dalili zote za kupoteza tena game
Kila mechi anafanya makosa dhidi ya mchezaji mmoja.wapumbavu wenziwe watamtetea kwa injury, harry ni kawaida yake kufanya blunder pindi anapokuwa kwenye presha.
leicester city wametuibia mchana kweupe
wapo njia kupewa kandarasi mpya, hii inaleta ujumbe wa kwamba bwana mkubwa ameridhika naoHii timu mpaka sasa pamoja na tatizo kuu la mwalimu la Laissez faire attitude.
Kuna poor coaching kwenye hii timu huenda hawa jamaa huwa wanaishia kufanya mazoezi ya kukata upepo tu.
Najaribu kuangalia namna Leicester wanavyoivunja line yetu ya kwanza na ya pili ya ulinzi kirahisi kabisa tena mara kwa mara.wapumbavu wenziwe watamtetea kwa injury, harry ni kawaida yake kufanya blunder pindi anapokuwa kwenye presha.
leicester city wametuibia mchana kweupe
kuna wakati walipiga pasi kuanzia golini kwao mpaka wakafika kwenye 18, hata kuwaghasi hatuwezi.Najaribu kuangalia namna Leicester wanavyoivunja line yetu ya kwanza na ya pili ya ulinzi kirahisi kabisa tena mara kwa mara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samahani naomba kuuliza hivi na Ronaldo anacheza leo?
Majeruhi pamoja na mwenzake Pogba, Ole mitano tena.Samahani naomba kuuliza hivi na Ronaldo anacheza leo?
Ronaldo atafunga dk yeyote usimdharau kabisaSamahani naomba kuuliza hivi na Ronaldo anacheza leo?
Samahani naomba kuuliza hivi na Ronaldo anacheza leo?
Tayari [emoji3]Bora tufungwe tujui moja kwa mpira huu