Manchester United (Red Devils) | Special Thread

he is all of me
 
"i have no pressure, we sat with the board and they know we are going in the right direction, winning trophies is an extra reward"
Huyu Ole ni kituko wakati mwingine.
Sasa kama kushinda vikombe ni extra reward,huo uelekeo sahihi anaupima kwa mauzo ya jezi au followers kwenye social media?

Kuna ile kauli yake wakati dirisha la usajili likikaribia kufungwa watu wanasubiri kutangaziwa cdm yeye akasema ameridhika na usajili na lolote litakalotokea baada ya hapo ni kama bonus. Nikajua ana plan namna ya kuficha madhaifu ya eneo la kiungo kumbe mweupe tu.
Leo hii watetezi wake wanasema kuwa Glazers hawajampatia CDM ndio maana ni ngumtimu kufanya vizuri.
 
hapo kwa amad ananishangaza sana huyu bwana ole
 
Amad ni bonge la mchezaji, cha ajabu ampi nafasi.
Sancho, Greenwood, James, Lingard ungekuwa wewe ni kocha Huyo Amad ungemwanzisha dhidi ya Greenwood na Sancho ?

Anamtumia kushoto kwa sababu ukiondoa Martial na Rashford ni Sancho tena anayeweza kucheza vizuri zaidi
 
Sancho, Greenwood, James, Lingard ungekuwa wewe ni kocha Huyo Amad ungemwanzisha dhidi ya Greenwood na Sancho ?

Anamtumia kushoto kwa sababu ukiondoa Martial na Rashford ni Sancho tena anayeweza kucheza vizuri zaidi
Kwani tunapambania kombe moja tu mkuu?
 
Ila pona yake ni kuanza kuchangamka kwa timu hizi fixture zijazo, maana kama Ferguson ameanza ku question maamuzi yake ya kumuweka nje Ronaldo basi mvua inakaribia kunyesha tutaona palipovuja.
Maana lile ni dongo alimpiga na kitu kizito.
Yaaani mpka leo bado muna amin Ferguson ni bora kuliko Ole no huo ni utoto na kukusa heshima kwa ole mpira alio fundisha hiko ki babu chenu wa kizaman kimeondoka hata VAR hakuna leo unasikiliza maamuz kwa mzeee miaka 80 cji 70 takataka nyie halafu mkubali hiko kibabu cha ureno nacho jua la jioni yy ndio mwal anajua cr7 aanze au atokeee sub BAS FUKUZA OLE LETA FERGUS ON MUONE KMA HAMKUSHUKA DARAJA anaju Gigs yupo ss yupo haruna magwaya haha pole
 
Unafki si Tanzagiza pekee bwashee bali hata huko dunia ya 3 umejaa tele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…