Fomesheni hata mtoto wa chekechea anaweza kupanga..
Ishu ni patterns,tunacheza vipi tukiwa hatuna mpira,tunavunja vipi low blocks,tunajilinda vipi vs setpieces,tunatawalaje dimba la katikati,gap between defence na midfield na gap la midfield na attack line nalo likoje...tunacheza vipi kwenye closed pockets...tunashambuliaje setpieces..tuna resist vipi pressing against us??..
Kuna mambo mengi..kusema tu tucheze 4-3-3 ni rahisi sana.
Wakuu mbn zengwe, dogo kaharibu mechi moja tu mmeitoa imani kwake wakuu? Mbn huwa c mbinafsi yule dogo, ngj nimuite aje athibitishe kwamba hatarudia tena Greenwood
Mbn mm naona cc ndio tunacheza sn isipokuwa hatutengenezi nafasi. Jamaa wanashambulia kwa kushtukiza shida ni kwamba nao hawana fowad kali, wangekuwa washatutia la mkikiri.