Naona neno #mburukenge linamfit sasa
Yeye na #mburukenge wenziwe wote kimya.. BAK kakimbia hadi kwake!!
Mbu mwenyewe dawa ya #rungu tu imemmaliza..sasa anasingizia box limekuwa gumu...
Wacha1 makelele kazidiwa na baridi la Alaska...
Naona neno #mburukenge linamfit sasa
Yeye na #mburukenge wenziwe wote kimya.. BAK kakimbia hadi kwake!!
Mbu mwenyewe dawa ya #rungu tu imemmaliza..sasa anasingizia box limekuwa gumu...
Wacha1 makelele kazidiwa na baridi la Alaska...
Nyakati kama hizi huwa anaingia kwa anonymity kama 'Guest'. Ila anakusoma sana.
Yaani huamini kabisa!Jamani ushindi raha yahani mpaka leo siamini tulivyowafunga hawa vibonde wetu..yahani kuanzia leo nimerudisha imani haki ya nani wachezaji wakicheza kwa kujituma kama hiyo juzi december mbali sana tutakua on top of the table...kwa sasa we are in for the title sio kujenga timu
Yaani huamini kabisa!
Haamin Mkuu ndio maana me nasema ilikuwa ni J2 ya timu ndogo za Chini kama Newcastle, Sunderland na Manure. So kama ambavyo washabiki Wa Sunderland hawakuamin ndivyo na hawa watu hawakuamini.
klabu yangu jana ilinipa raha licha ya kwamba marafiki walishatabiri kwamba wangenipiga bao 3. namtafuta EMT jamani.
Haamin Mkuu ndio maana me nasema ilikuwa ni J2 ya timu ndogo za Chini kama Newcastle, Sunderland na Manure. So kama ambavyo washabiki Wa Sunderland hawakuamin ndivyo na hawa watu hawakuamini.
MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0
man utd 1-arsenal 0
man utd 3-ars enal1
man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0
man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
hio ndio record ya man utd vs arsenal kuanzia jumapili 10/11/2013 kurudi mpaka jumamosi 21/05/205 last time Arsenal kabeba kikombe.......SASA WEWE MUUNGWANA UNATAKA KUSEMA KUNA MSHABIKI WA MAN UTD HAAMINI KUWAFUNGA ARSENAL???WANAKUCHORA WEWE....WEWE NDIO HUAMINI KWAMBA MPAKA SASA UNAONGOZA LIGI.....
Mie nikimbie wakati naongoza ligi tena kwa credit what a joke! ..... .. what are you talking about? Only i d i o t s and Mburukenges react the way you do. You can do better than that! Chacha upo nyuma hatua tano then unafikiri umetangulia, usitoroke tu maana Theo, Ox na Pod wapo njiani kurejea .... ... hapo ndipo utatambua Gunners imejengwa kwa Granite. .... .... ... chini ya prof. There is only one prof.
Mie nikimbie wakati naongoza ligi tena kwa credit what a joke!
In your dreams khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee talk about your Mburukenges.
Vidic out of hospital
Nemanja Vidic was released from hospital on Sunday night after suffering concussion during the Barclays Premier League victory over Arsenal.
The Manchester United captain was hurt in a collision with David De Gea towards the end of the first half and failed to re-emerge following the interval.
Manager David Moyes revealed that the Serbian would have a scan on the injury after looking dazed as he left the field.
Phil Jones slotted in at centre-back with Tom Cleverley coming on as a substitute and playing in midfield.
United's next outing is on Sunday 24 November at Premier League new boys Cardiff City.