Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
 
Pass zimetembea vilivyo.Version zimetumika pia.Next Match naamini idadi ya magoli itaongezeka kwani tayari tumeshatengeneza chemistry
 
Mkuu PTER I told you shida ya Utd was a true leader and not DM, tulimhitaji CR7 kuliko mpumbavu yyte duniani.
Cristiano au Lionel hawa wachezaji hata wawe na mguu mmoja na ikatokea nafasi ya kuwasajili siwezi kujifikiria mara mbili. Mchezaji ana uhakika wa kukupa goli 20 za ligi kuu kwa msimu unataka nini tena.

Kusema ukweli kwa sasa hivi tuna kikosi kizito sio mahaba hata kama kima yeyote yule awe anatuongoza goli 3 bila zinaweza kurudi dakika yoyote ile. Mchezo wa leo wachezaji walicheza kwa pressure kubwa kutoka kwa mashabiki ila wamejitajihidi kui-handle.

Ronaldo, Bruno, Pogba, Greenwood, Sancho, Varane, Maguire, Shaw, Cavani, Rashford - Haki ya nani Ole hana excuse msimu huu. EPL na FA haya makombe mawili kwangu mimi msimu huu ni non-negotiable ni lazima ababe la si hivyo atuachie timu.
 
Yani ole Gunnar msimu huu asipofanya la maana hata kuinua la mbuzi,wallah Bora aende zake akafanye mishe nyingine, msimu huu Hana excuses kabisaaa Yani tushindwe kuchukua ata kombe la kuoshea vyombo msimu huu, itakua aibu iliyotukuka tutaweka wapi sura zetu sisi wanazi...
 
The biggest problem with me, ni kwamba ronaldo hakuwa kwenye mipango yetu, i seriously hate mambo ya kukupuka.
Ronalso ni human being, inamaana akipata matatizo inakuwaje sasa?
Sasa mkuu hata kama tusingemsajili Ronaldo unadhani Ole alikuwa anafanya sajili nyingine?..jibu ni hapana.

Na Ronaldo akiwa hayupo kwa majeraha au uchovu tutatumia tuliokuwa tumepanga kuwatumia msimu huu bila yeye.

Tuache kuwa negative..kuna wachezaji wakusajiliwa hata kama ni kwa kukurupuka..Messi na Ronaldo ni mfano..PSG na sisi tulisajili wao watu respectively coz fursa ilitokea na kulikuwa hamna jinsi ya kujiuliza mara mbili.

Huyu Ronaldo anaenda kuwa Top scorer wa msimu huu..Mark my words.
 
Rashford auzwe tupate pesa ya kyongeza washambuliaji brain
Anaweza asiuzwe ila tu asipewe airtime kubwa mana kuna Cavani, wacha wanaojua wacheze, haya matoto yenye masihara yakae yajifunze au yaendelee kutema mate yakiwa benchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…