Yani hakuwa na dalili za kudaka hata moja, yule kipa wa Villarreal alizifuata sana sema zilikuwa za moto... Sasa huyu degea kapiga shuti la kuku kabisa.
Yani hakuwa na dalili za kidaka kata moja, yule kipa wa Villarreal alizifuata sana ila mashuti ndo yalikuwa yanamzingua.... Sasa huyu degea kapiga shuti la kuku kabisa.
De Gea hata enzi za Ubora wake hajawahi kuwa mzuri kwenye penalty. Alikuwa mzuri sana kwenye 90'
Nilivyoona timu zimefika matuta nikajua tu Man U kwaheri.