Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sisi Fulham tumeshuka daraja lakin moto tunao wapelekea sio poa
 
Ilikuwa muhimu sana kushinda leo ili mechi ya mwisho icheze timu B, wakali wakijiweka sawa kwa final
 
Dagaa kutunza clean sheet imekuwa ni sawa na kutafuta bikra kwa malaya.
 
Villareal ndiyo mabingwa wa Uropa
Ubingwa wa Europa league tutabeba Jombaa. Haya matokeo tunayoyapata kwa sasa wachezaji wetu wapo ktk relaxation mood.

Tayari walikuwa wameingia top 4 kabla ya michezo minne ya mwisho hakukuwa na haja yoyote ile ya kukamia unless for "ego massaging" ya kumaliza nafasi ya pili. Kitu ambacho hakina maana, EPL mtu wa pili na wanne hakuna tofauti.
 
Hamna beki pale
Msimu ujao tukipinduka nae yeye na Harry Maguire kama mabeki tegemeo hatuwezi kubeba kombe lolote lile ni walinzi wadhaifu sana pia wana makosa ya kijinga na kiufundi mengi sana.

Kuna mabeki wazuri sana wapo sokoni na bei zao ni ndogo kabisa. Wapo very strong, aggressive & faster (pace) - Cristian Romero, 23 & Sven Botman, 21.
 
Ngoja mkuu tucheze fainali kisha kila mmoja aje na upembuzi wake yakinifu nini kifanyike ili next season tuende toe to toe na kina City kisawasawa na sio kwa kubahatisha..
 
Nenda kabebe sasa
 
Umemsahau Kounde
 

Harry maguire huwa sina shida nae nina shida na lindelof,scott na fred hiz mech kadhaaa naanza kuona wana shida wanapoteza sana mipira kama viungo wanawapa hatar mabeki







 

Hapo angalia ktk hayo matukio humuon fred wala scott ndan ya 18 au nje ya 18 kisha bissaka anavutika ndan kusaidia anaacha mtu kushoto kwake

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…