Mmepata mchezaji mpya! Lini mlimnunua? Chacha Judas ndio kwisha makali yake au ndio zile ngumi na Mo No? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naambiwa kwa chati hii timu ndio ngazi kwenye group lenu ... ... hebu tuthibitishieni! Imefungwa na kila Tom, Dick and Harry.
Absolutely, what a game you have got .... .... .... ... .. at least they (Real Madrid oooops Real) did not win any match in the group. Phew! Wapinzani wana kazi kubwa ... ....