Yani magoli ya bahati nasibu tupu hakuna goli la muvi hata 1, kweli bahati Ina mantiki sana katika hatua hizi kuliko hata kumiliki mpira.Nimeziangalia timu zote nne za uefa nusu final ila chelsea wanacheza kibingwa wana jambo lao mengine mpira unadunda unaweza kukutana na magoli ya man city
Socha alidhani Bielsa atampa nafasi za kukimbia kama ile game ya kwanza..ndo maana akakatoa kaswala kake (James) zizini.Bielsa alituweza sana siku ile
nimecheka sana.Socha alidhani Bielsa atampa nafasi za kukimbia kama ile game ya kwanza..ndo maana akakatoa kaswala kake (James) zizini.
Bado hajafukuzwa tunimecheka sana.
subiria mechi ya liverpool, jamaa atarudi tena na mfumo wa diamond.
Na mbaya zaidi psg sioni akitoka na ushindi pale etihad...Nimeziangalia timu zote nne za uefa nusu final ila chelsea wanacheza kibingwa wana jambo lao mengine mpira unadunda unaweza kukutana na magoli ya man city
tunachohitaji kutoka kwake ni kutuondolea laana ya kufungwa nusu fainaliBado hajafukuzwa tu
Squad tu itajieleza kama tutasonga au tunatokaHaya sasa..nusu fainaili nyingine mbele yetu..hii ya tano,nne tumechezea kichapo zote na kutupwa nje.
Roma quality ya kutufunga hawana..it will be down to the manager na players.
Cavani aanzie bench?As roma wanapendelea kutumia mfumo wa 3-4-2-1.
squad sheet imeshaonyesha watacheza mfumo wa kujilinda, lack of ball possession, low block kwa muda mwingi wa mchezo pengine na kuwepo kwa nafasi ndogo kati ya mstari wa safu ya ulinzi, viungo na mshambuliaji.
kwa nini asicheze donny van der beek eneo la kushoto, huku greenwood akicheza eneo la ushambuliaji.
donny atatupa faida hiyo ndivyo ninavyojiaminisha.
- tunahitaji kumiliki mchezo
- si tu umiliki wa mchezo bali tuwe na uwezo wa kufanya uamuzi wa haraka tukiwa na mpira
- kuvunja mistari ya ulinzi ya roma
- kutengeneza nafasi za kutosha
==============
Ole alivyo muoga mwenye kujificha kwenye hoja ya kuchukua tahadhari dhidi ya adui unaweza kuwaona uwanjani McFred huku pogba akicheza kushoto