Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,280
- 10,052
Kifuatacho itvNi wapumbavu wana protest nani awasikie sasa?
Au huo umiliki upo nusu nusu mie siuelewi? Mtu cha kwake unataka kumfukuza wewe ambaye ni shabiki tu?
Kuna watu wa ajabu dunia hii, ila mashabiki wa mpira tumezidi.
Wewe unawaita mashabiki wanao-protest wapumbavu kwakuwa haupo kwenye biashara ya soka, mashabiki haohao wakiamua wanaweza kuipeleka timu chini kiuchumi. Hizi club kubwa zina-survive kutokana na mifuko yetu. By the time watu wakiacha kuweka pesa mifukoni mwa Glazer utaona nini kitatokea: hii ni campaign itakayokuja kupitia haya maandamano, wait and see.Ni wapumbavu wana protest nani awasikie sasa?
Au huo umiliki upo nusu nusu mie siuelewi? Mtu cha kwake unataka kumfukuza wewe ambaye ni shabiki tu?
Kuna watu wa ajabu dunia hii, ila mashabiki wa mpira tumezidi.
Huhitaji degree kutoka Theophilo Kisanji University ili kuweza kulingamua hili..Fans ndo kila kitu.Wewe unawaita mashabiki wanao-protest wapumbavu kwakuwa haupo kwenye biashara ya soka, mashabiki haohao wakiamua wanaweza kuipeleka timu chini kiuchumi. Hizi club kubwa zina-survive kutokana na mifuko yetu. By the time watu wakiacha kuweka pesa mifukoni mwa Glazer utaona nini kitatokea: hii ni campaign itakayokuja kupitia haya maandamano, wait and see.
Mashabiki hawawezi kumfukuza mmiliki ila wanaweza kutengeneza mazingira mmiliki akaondoka.
Without fans, commercialization would be a nonexistent avenue in the football world. (The Economics of Club Football: Importance of Global Fan Support [article] )
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sote tunajua mashabiki ndio kìla kitu kwenye biashara ya soka....Wewe unawaita mashabiki wanao-protest wapumbavu kwakuwa haupo kwenye biashara ya soka, mashabiki haohao wakiamua wanaweza kuipeleka timu chini kiuchumi. Hizi club kubwa zina-survive kutokana na mifuko yetu. By the time watu wakiacha kuweka pesa mifukoni mwa Glazer utaona nini kitatokea: hii ni campaign itakayokuja kupitia haya maandamano, wait and see.
Mashabiki hawawezi kumfukuza mmiliki ila wanaweza kutengeneza mazingira mmiliki akaondoka.
Without fans, commercialization would be a nonexistent avenue in the football world. (The Economics of Club Football: Importance of Global Fan Support [article] )
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Inaonekana hujui lolote kuhusu uchumiSote tunajua mashabiki ndio kìla kitu kwenye biashara ya soka....
Asa ukitembea na bango kwamba glazers out , alafu bado unaingia uwanjani, jezi unanunua, mechi unaangalia na mambo yote ya kuingizia timu kipato unayafanya, inafaida gani sasa kutembea na mabango.
Wakigomea kuisupport ndio kutakuwa na effect sio kutembea na mabango "Glazers out"....
Huu ujumbe umeelekezwa kwa nani? Maana kama mmiliki humtaki nani akuskilize?
Tuambie wewe unayejua uchumi....🤣🤣Inaonekana hujui lolote kuhusu uchumi
Ndio maana sijataka hata kuumiza vidole kumuelezeaInaonekana hujui lolote kuhusu uchumi
Leta link wewePenati ya wazi kabisa ile leeds wananyimwa hapa.......
Nipo Kibanda umiza ndugu ila ingia hapaLeta link wewe