Sio unadhani mamaeeee hii vita mshindi ni boris baada ya kile kikao chake cha jana kuisha......Kwenye vilabu mzee. Huoni watendaji wakuu wanavyo bwaga manyanga. Ishu kubwa ni wametofautiana mitazamo na wamiliki. Unaweza kushangaa wamiriki nao wanauza team ndio mapinduzi hayo.
Lakini kwa upande mwingine mpunga unaweza kuongezwa na UEFA.
Hii ishu sijui nani kapindua meza nadhani labda ni bwana Boris Johnson.
Kwani tangu katoa tamko tumeshuhudia club zinaanza kujitoa moja baada ya nyingine.
Na ndio maana huko juu niliandika watu pekee ambao watafanya hii michuano isichezwe ni mashabiki na wachezaji tu......kumbe likaja kuibuka kundi lingine hatari mno kuliko hao wawili likiongozwa na bwana boris johnsonHivi vilabu vilitegemea uefa na fifa ndio watakao pinga na si mashabiki,gvt,media n player
Kwa bahati mbaya kwao ikawa ni wote against wao
England hawako tayari kuona Premier league inapoteza ule mvuto or brand iliyonayo
Hakuna....Naomba mtu anipe uchambuz Hasara ambayo wangeipata Mashabiki kwa team zao kushiriki Super League weka ushabiki pembeni naomba facts
Sababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?Hakuna....
Ukipewa usinisahauwadau naomba mwenye link ya group lolotebna mashabiki wa man u la whatsapp wa bongo au telegram anitumie
poa mkuuUkipewa usinisahau
Mi nafikiri hii kitu imepigwa vita sababu ya uingereza wao tu mashabiki na media wanaona kama premier league itazidiwa na super league lakini pia walioanzisha/ wanaopigia chapuo si waingereza ndio mana hawakuwa tayari kupokea hayo mabadiliko. Mtazamo wangu tu.Sababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
City yupo uwanjani leo akipapatuana na Aston Villa.
Tuanze kubana "makagari" rasmi sasa.
Sababu kubwa ya kupinga ni namna ambvyo vilabu vingi vidogo vitakosa sehemu kubwa ya kujipatia mapato na kingine pia kiuhalisia hata ile ndoto ya wachezaji wengi kuwa wanataka kucheza kwenye mashindano makubwa kma UCL inakuwa ndogo. Na kingine zile battle ambazo tumezizoea inakuwa siyo nzuri mfano, liverpool vs madrid ile ambayo mpaka salah anaumia mkono kwa kuumizwa na ramos halaf msimu huu wanakuja kukutana tena kwenye robo fainali matukio ya nyuma inawafanya mechi inakuwa tafu ila wakiunda hayo mashindano userious unapungua maana kila msimu wanakuwa wanakutana wao kwa waoSababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
Mdau pitia pitia na uzi wa liva majibu utayapata tu....Sababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
IMO: Ilikuwa inaua ushindani kwenye leagueSababu kuu ya wao Kupinga haswa lilikua ni nini?
Wakajipange upya na proposal yaoIMO: Ilikuwa inaua ushindani kwenye league
Vilabu vidogo visingepata fursa kushiriki hii michuano hata viwe mabingwa kwny league zao
Yani mtu hata amalize nafasi ya 15 huko stil atashiriki hii michuano kisa tu ni founder
Ligi za domsectic na UEFA zingezorota, hiyo ligi mpya kwa sababu ni closed league isingekuwa na ushindani na hivyo ingeboa mashabikiNaomba mtu anipe uchambuz Hasara ambayo wangeipata Mashabiki kwa team zao kushiriki Super League weka ushabiki pembeni naomba facts