Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United's stock market value is dropping heavily and the Glazers could sell the football club within the next few days. They did not expect this reaction.
 
Glazers walishaanza kuuza hisa zao.

Now they are considering selling Man Utd.
Bora waiuze tu kama faida washapiga vya kutosha na nina imani hii club haiwezi kukosa mdhamini kamwe.....

Unapata faida unaenda ilipia kwenye madeni ya kampuni zako huko marekani....shame
 
Miaka 16 ana makombe matatu....aende tu
 
Bora waiuze tu kama faida washapiga vya kutosha na nina imani hii club haiwezi kukosa mdhamini kamwe.....

Unapata faida unaenda ilipia kwenye madeni ya kampuni zako huko marekani....shame
Wadhamini au wamiliki?
 
Mapinduzi gani
Kwenye vilabu mzee. Huoni watendaji wakuu wanavyo bwaga manyanga. Ishu kubwa ni wametofautiana mitazamo na wamiliki. Unaweza kushangaa wamiriki nao wanauza team ndio mapinduzi hayo.
Lakini kwa upande mwingine mpunga unaweza kuongezwa na UEFA.

Hii ishu sijui nani kapindua meza nadhani labda ni bwana Boris Johnson.
Kwani tangu katoa tamko tumeshuhudia club zinaanza kujitoa moja baada ya nyingine.
 
Hivi vilabu vilitegemea uefa na fifa ndio watakao pinga na si mashabiki,gvt,media n player
Kwa bahati mbaya kwao ikawa ni wote against wao

England hawako tayari kuona Premier league inapoteza ule mvuto or brand iliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…