Shukrani sana mkuu kwa updates,naamini wengi ambao mazingira yametufanya tushindwe kuangalia mechi hizi moja kwa moja utakua umetupa zawadi kubwa sana.

man utd 1-real sociedad 0
bayern 2-0 plzen
real madrid 2-1 juventus
anderlecht 0-3 psg(hat trick by ibrahimoc zlatan)
bayer lev 1-0 shaktr donesky
benfica 0-1 olympiacos
cska mscow 1-2 man city