Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Premier League top scorers since February 3:

Jesse Lingard
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Kelechi Iheanacho


#GGMU


manutd |
 
★majestic
/məˈdʒɛstɪk/
𝙖𝙙𝙟𝙚𝙘𝙩𝙞𝙫𝙚

1. beautiful, powerful, or causing great admiration and respect

See: Edinson Cavani


#GGMU


manutd |
 
Niliyoyaona kwa Dean Henderson jana
-Ana attributes za "sweeper keeper". Ametoka golini zaidi ya mara mbili kuokoa hatari. I hope he becomes our Manuel Neuer.

-Ana footwork nzuri(sifa za goalkeeper anazotaka Gurdiola), na distributions yake ni nzuri pia. Nadhani atakuwa msaada kwenye build up ya magoli(mfano lile goli la shaw vs City)

-Kwenye mipira ya cross na corner, naona pia yupo vizuri.
Ana command box lake vizuri(hapa nampa credit, kamzidi De gea)

All in all, bado ana safari ndefu sana. Lkn akiendelea na hii consistency, naamini kwenye EUROS za mwaka huu kuna uwezekano akawa chaguo la kwanza kwenye timu ya taifa
 
Waingereza golini wanaanza na nani?..Nick Pope?

Kwa kuongeza pia,Henderson yupo strong akiwa anaenda kuwania mpira wa juu..De gea kashakuwa beaten mara kibao kwenye maeneo hayo.
 
★Manchester United's on-loan star Jesse Lingard is reportedly attracting transfer interest from Paris Saint-Germain, Inter Milan and Real Madrid.★

#GGMU

#ESPN

manutd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…