Siku Hanibal Mejbir atakapopewa first debut hata Bruno tutamsahau.2022/2023 endapo kocha mkuu ataendelea kuwa ni Ole gunnar solskjaer tutegemee mabadiliko haya ndani ya kikosi cha kwanza
Nje
nemanja matic na fred
Ndani
James Garner: likumbuke jina la huyu kijana anayeufanya mpira uonekana kama ni mchezo rahisi sana haijalishi unacheza eneo la CDM. waheshimiwa mukiwa na muda muwe munamfuatilia huyu bwana pale nottingham forest.
View attachment 1746239
saa nne..Mechi saa ngapi ?
Yupo Spain (La liga)..AlavesHivi Facundo ameishia wapi?
Kuwa mtulivu wewe!Kennedy na Robert Soldado leo watawafanya kitu mbaya sana
Ngapi ngapi huko?Hizi yellows zitatucost
Mbeleko iko wapi hapo mkuu...Wazee wa mbeleko
Bila penalti nyie ni bure kabisa
Pole sana kwa kuteseka...Bila penalti nyie ni bure kabisa
Basi futa penalt mkuu.afu iliyobaki siri yakoBila penalti nyie ni bure kabisa