Lionel Messi katika private jet yake akielekea katika jiji la Manchester kusaini mkataba wa kuichezea Man City kuanzia msimu ujaoCity wamethibitisha kuwa watamtambulisha Muargentina kama mchezaji wao leo 13:00 EAT katika Uwanja wao wa Etihad huku mashabiki 20,000 wakipewa kibali maalum cha kushuhudia utambulisho huo."
View attachment 1740122