Hatafanya huyu ni wa middle of the table terms ndiko atafanikiwaKama Jesse' anarudi basi VdB atafutiwe timu akacheze..He is still young na akienda timu inayom-suit atacheza.
Lakini je atafanya anachofanya Westham kwa sasa?..
Labda Ole kachoka ila tatizo la kumtimua legend litaibua hisia tofautiHii aina ya uchezaji wetu kila timu tunayocheza nayo inageuka kuwa prime Barcelona hata mwalimu hana mwarobain wake.
Wakati anafundisha Molde Solkjaer alikuwa anafundisha mfumo wa kudominate possession kwa kutumia mfumo wa 4 3 3 kama alioanza nao pale United.
Sasa hivi tunavyocheza hata kuangalia mpira inakera sana hakuna ubunifu wowote kwenye kikosi zaidi ya kukimbiakimbia hovyo hovyo.
Timu haiwezi tena kumiliki mpira hata kwa dakika moja labda uwe mpira wa kurusha nao mrushaji achelewe kuurusha tu.
Binafsi siumizwi sana na matokeo tunayopata ila naumizwa sana uchezaji wa team yetu wa kubahatisha bahatisha tu wachezaji wetu hata kufanya runs za kutengeneza passing lanes hawawezi ni kama wote ndiyo academy graduates.
Bila Bruno sijui Ole angekuwa wapi to be honest..Hii aina ya uchezaji wetu kila timu tunayocheza nayo inageuka kuwa prime Barcelona hata mwalimu hana mwarobain wake.
Wakati anafundisha Molde Solkjaer alikuwa anafundisha mfumo wa kudominate possession kwa kutumia mfumo wa 4 3 3 kama alioanza nao pale United.
Sasa hivi tunavyocheza hata kuangalia mpira inakera sana hakuna ubunifu wowote kwenye kikosi zaidi ya kukimbiakimbia hovyo hovyo.
Timu haiwezi tena kumiliki mpira hata kwa dakika moja labda uwe mpira wa kurusha nao mrushaji achelewe kuurusha tu.
Binafsi siumizwi sana na matokeo tunayopata ila naumizwa sana uchezaji wa team yetu wa kubahatisha bahatisha tu wachezaji wetu hata kufanya runs za kutengeneza passing lanes hawawezi ni kama wote ndiyo academy graduates.
Ndo hivyo,sema maboss wa United mate yameshawatoka,watamrudisha na kumpa mkataba mzuri tu inavyoonekana.Hatafanya huyu ni wa middle of the table terms ndiko atafanikiwa
Binafsi naanza kuona ni bora tuanze upya kuliko kuendelea kujilisha matumaini hewa na mtu ambaye huwa anajimaliza mwenyewe.Labda Ole kachoka ila tatizo la kumtimua legend litaibua hisia tofauti
Lampard alitimuliwa na ikawa kama hamna kilichotokea..He is a Chelsea Legend.Labda Ole kachoka ila tatizo la kumtimua legend litaibua hisia tofauti
Heri hata Lampard alikuwa na kikosi zaidi ya nusu kipya na timu ilikuwa inaonyesha mwelekeo kiuchezaji.Lampard alitimuliwa na ikawa kama hamna kilichotokea..He is a Chelsea Legend.
Angekuwa alishafukuzwaBila Bruno sijui Ole angekuwa wapi to be honest..
Kwanza msimu huu ilibidi tubebe kombe au tukimbizane na City hadi mwisho..shaajabu tumeachwa mbali.Laissez faire attitude ya Ole imeshaathiri team nzima kiasi wachezaji wanacheza as if hawana cha kupoteza tena.
Kwenye kikosi chetu mpaka sasa tumejaza watumishi hewa na wanaongezeka kila siku akiwemo Ole na benchi lake la ufundi.
Timu yetu inakosa personalities muhimu kikosini kuanzia benchi la ufundi mpaka kwenye timu ukiondoa Bruno, Scot na Shaw.Kwanza msimu huu ilibidi tubebe kombe au tukimbizane na City hadi mwisho..shaajabu tumeachwa mbali.
✓Ole kimbinu hajaivaa.
✓Ameshindwa kutengeneza consistent system ya kiuchezaji.
✓Muoga muogo na anataka kumfurahisha kila mtu kikosini.
Tusishangae Tuchel akabeba kombe kabla yetu.
Ile game angempumzisha Mbrazili na kumchezesha yule mswahili angeshinda au kutoa suluhuAm slowly losing faith in Solkjaer aisee.
Game yetu na Leceister summed it all
Ile Leceister ilijiexpose vile angeenda na Daniel James kushoto kisha Pogba akacheza namba 10 au kwenye double pivot na Matic tungeshinda easy tuIle game angempumzisha Mbrazili na kumchezesha yule mswahili angeshinda au kutoa suluhu
Bado mkuuBado hajafukuzwa tu
ze-dudu right here [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bado hajafukuzwa tu